Nadhani naingia kwenye msongo wa mawazo, nahitaji neno la faraja kwenu wa TANZANIA wenzangu, ndugu, kaka, dada, mama na baba zangu.
Wakuu juzi, niliwashirikisha juu ya dhiki ya njaa Inavyotaka...
Wanawake wengi katika ndoa hulalamika sana hasa kutokana na kukosa msisimko wa mapenzi wakati wa faragha.
Wanalalamika kwa kuwa wanaume kila siku hutoa kitu kilekile, anakubusu, anakugusa kidogo...
Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali.
Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya...
UBUNTU BOTHO
Sababu kumi (10) ambazo zaipasa serikali kuhamisha ujenzi wa uwanja wa mpira jijini Arusha kwenda jiji Mwanza .
1)Fidia za eneo au viwanja, gharama za eneo au kiwanja Arusha ni...
Habari za majukumu wanazengo
mada inajieleza. Viwanja vipo miti mirefu, Malimbe-nyegezi-Mwanza(viwanja vipo karibu na beach kama samanene,avash,jembe ni jembe,wag hill)
viwanja vinafaa kwa...
Kupitia hiyo video aliyopost kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram Diddy anasema amekubali na anawajibika 100% kwa kitendo hiko alichokifanya na kitendo kilichoonekana kwenye video hiyo kamwe...
Kama Kuna illegal issue yoyote nipo tayar kwa lolote, nipo tayar ku take risk kwa ajiri ya maisha yangu na familia yangu, najua mnaweza shidwa kunielewa.
Yes nataman kukata mizizi hii ya mateso...
Nadhani kwa sasa Dunia imesimama na majasusi wote Dunia wameamia Iran kunakotukio lakutisha.
Baada ya mvumo na bishindo vingi sasa wenye Dunia yao wameamua kufanya yao pasipo kuwepo ushahidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.