Wakuu habari za muda huu.
Mimi ni mkazi wa Kahama, Shinyanga, napenda sana nifanye kilimo cha vitunguu maji hasa ktk mikoa ya Singida na Manyara
Tafadhari sana kwa mkazi wa Singida na Manyara...
1. Usipende kuongea kama utani madhaifu ya marafiki zako au jirani ili ufurahishe watu
2. Hakikisha unasalimia majirani hata kama huna story nao
3. Hakikisha unaanza kusalimia watu unaowakuta...
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
Kukata gogo ni moja ya kutoa uchafu mwilini. Katika mambo ya kiroho kukata gogo ni moja ya kutoa mikosi, nuksi na majanga katika mwili wa binafamu. Kwa maana hiyo watu tunashauriwa usipendelee...
Wakuu, baada ya taharuki iliyotokea kuhusu Serikali kutoa idhini ya kuhesabiwa kwa Wanafunzi na Walimu waislamu Mashuleni naona imetoa zuio kwa kibali hicho.
Hadi sasa bado haijajulikana kwanini...
Jamiiforum ikigeuzwa ya mizaa mda sio mrefu itapuuzwa kuna social media nyingi sana zilivamiwa na watu wa mizaa soon zikapuuzwa hata jamiiforum ndo inapoelekea kuwa kijiwe cha watoto
mfano kwa...
Nadhani kila Mkoa nchini Tanzania una alama yake au kitu fulani maarufu sana kinachutambulisha Mkoa bila hata kuambiwa ukiona unajua tu hii kitu ya mkoa fulani. Twende kazi wadau, nini...
Siku ya Shinikizo la Damu Duniani huadhimishwa Mei 17 ya kila mwaka ikiwa na lengo la kuongeza ufahamu utakaosaidia Kuzuia, Kugundua hali na Matibabu ya Shinikizo la Damu.
Shinikizo la Damu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.