Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

MIKA MWAMBA PRODUCER ALIYEIBUA VIPAJI VYA WASANII WENGI BONGO Ngoma za huyu mwamba zilikuwa na vinanda vyenye ma-vibe ya kufa mtu: Tamara + ni wewe - Hard Mad Eno maiki - Ziggy Dee (Uganda)...
12 Reactions
41 Replies
2K Views
Sina utani kabisa kwenye hili jambo nimedhamilia , kama vijana wa nchi hii ,tuliweka Imani kubwa sana kwa vyama vya siasa vilivyopo ,tangu mwaka 1995 mpaka sasa ,hakuna chama hata kimoja ambacho...
3 Reactions
34 Replies
236 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ni (CHADEMA), ni chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania chenye makao makuu yake jijini Dar es Salaam wilaya ya Kinondoni. Kwa miaka mingi chama hicho kimekuwa...
2 Reactions
49 Replies
2K Views
1. Dk. Ben Carson alisema, "Nilitatizika kimasomo katika shule yote ya msingi lakini nikawa daktari bingwa wa upasuaji wa neva duniani mwaka wa 1987." SOMO: Kupambana ni ishara kwamba uko kwenye...
7 Reactions
17 Replies
123 Views
hapo kabla kulikua na huduma ya kuhamisha bando (MB 250) kutoka namba moja kwenda namba nyingine sasa ivi naona hii huduma wamesha itoa bila hata ya taarifa. Pia hii ilikua ni amri kutoka TCRA...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mnavyosemq mama Samia anakopakopa Basi mnamkozea sna mam huyu leo ripot ya imf shirika la fedha duniani imetoka na kuonesha inch kumi zenye Mikopo mikubwa imf na katk nnchi zote hzo Tanzania ya...
2 Reactions
12 Replies
104 Views
Nimeona Mijadala mingi inaendelea kuhusiana na interview ya General Mabeyo akielezea Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Taifa ilivyosimamia matibabu ya hayati Magufuli. Suala la afya za Viongozi ni...
1 Reactions
8 Replies
564 Views
Natoa tahadhari huyu member ni muongo sana na mpotoshaji sana Mfano kuna thread zake mbili ukizifuatilia utaona ni muongo sana na sijui anapata faida gani Ya kwanza anasema yeye ni kijana mdogo...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Niende Moja Kwa Moja kwenye mada, enyi waislamu kwanini hamtambui uwepo wa mtoto wa nje ya ndoa wakati wa mirathi? Eti mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kirithi mali za baba ake mzazi hivi sheria...
6 Reactions
125 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,518
Posts
49,633,635
Back
Top Bottom