Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari wana Jf? Mimi ni kijana ila napenda kuwa na usafiri Kwa ajili ya mambo yangu ya kazi na privacy zangu mwenyewe za kimaisha. Kazi yangu ni Mwalimu . Naomba ushauri wa aina ya gari ambayo...
18 Reactions
181 Replies
12K Views
Wakuu habari za muda huu najua mko njema tunaendelea kupata pumzi ya bure na Mungu atubariki Kama kawaida kuna wakati mtu unapambana na inafika hatua unatamani uwe na kwako uchomoke kwenye mambo...
0 Reactions
9 Replies
119 Views
Mtoto wa mchungaji Christina shusho 'Odesia Shusho' avishwa Pete ya uchumba.
4 Reactions
76 Replies
3K Views
IBILISI RUDISHA FAHAMU ZETU(MIMI NA MKE WANGU). BY ISSAI SINGANO . (Singano jr). DIBAJI Saa saba mchana Frida alionekana akiingiza gari ndani ya hospitali na taasisi ya kitafiti ya Neuroscience...
3 Reactions
203 Replies
47K Views
Watanzania hasa wa Jiji la Dar wameonesha kulalamika hatua ya Wachina kuamua kufanya biashara za Uchuuzi Badala ya Kuwa Wawekezaji Kama Vibali vya ukaazi walivyoomba. Wachina wameonekana maeneo...
2 Reactions
8 Replies
134 Views
Habari za mda huu waungwana, nahitaji msaada wenu wa jinsi ya kupata hati ya kiwanja kwa haraka nitumie mbinu ipi kwa mliobahatika kupata ama kwa watalaamu mliopo humu upande ardhi nahitaji...
0 Reactions
9 Replies
78 Views
Jamiiforum ikigeuzwa ya mizaa mda sio mrefu itapuuzwa kuna social media nyingi sana zilivamiwa na watu wa mizaa soon zikapuuzwa hata jamiiforum ndo inapoelekea kuwa kijiwe cha watoto mfano kwa...
9 Reactions
75 Replies
695 Views
Wakuu, baada ya taharuki iliyotokea kuhusu Serikali kutoa idhini ya kuhesabiwa kwa Wanafunzi na Walimu waislamu Mashuleni naona imetoa zuio kwa kibali hicho. Hadi sasa bado haijajulikana kwanini...
0 Reactions
28 Replies
497 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
517K Replies
30M Views

FORUM STATS

Threads
1,854,539
Posts
49,634,220
Back
Top Bottom