Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Jamaa wanasema huduma imerudi ila kiuhalisia ni mapichapicha tu hakuna lolote bado hali ni mbaya.
2 Reactions
33 Replies
339 Views
1. Kwamba huduma zenu ni kwa na kwa MB za bando? 2. Kwamba bando hu expire kwa siku au MB kuisha kutegemea kipi kinakuja mapema? 3. Kwamba mtandao umesua sua kwa takribani wiki nzima, ila...
3 Reactions
19 Replies
117 Views
Niende Moja Kwa Moja kwenye mada, enyi waislamu kwanini hamtambui uwepo wa mtoto wa nje ya ndoa wakati wa mirathi? Eti mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kirithi mali za baba ake mzazi hivi sheria...
6 Reactions
93 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamvi,mlishawahi kujiuliza hawA wanawake waliojichubua NI Nani atakayewaoa?😂😂 Mwanamke ukijichubua jua kuwa huji kuolewa kamwe,hii ni kwa sababu hakuna mwanaume anapenda mwanamke...
18 Reactions
50 Replies
1K Views
Ameyasema hayo mbele ya Mkuu wa Mkoa Mh Chalamila alipofanya ziara wilayani hapo. Mheshimiwa Chalamila ameahidi kukutana na Mkuu wa Majeshi. Hii imekaaje wadau maana naona kiongozi wa Serikali...
2 Reactions
24 Replies
318 Views
Jamaa alikua anatoa ilmu ya kurani huku akiwalawiti hao wavulana, wakaamua kuungana na kumpa madawa ya usingizi, alipolala wakamuua.....bora akapewe mabikira kule. ‘He was sexually abusing us’: 6...
3 Reactions
17 Replies
598 Views
Mwanadamu ukimpa uhuru uliyopitiliza matokeo yake ndiyo haya.imagine mtoto wako katiwa mimba Ili baadaye akijifungua akuachie kijukuu na kurudi shuleni!! Kwa sababu tumekubariana tuwape uhuru wa...
1 Reactions
4 Replies
29 Views
The Banking system of Cuba has reportedly collapsed. Cubans are reporting via Social Media all their money is gone from their accounts, and all Automated Teller Machines (ATM's) have been emptied...
6 Reactions
61 Replies
1K Views
Kupitia video inayotembea mitandaoni, mkuu wa mkoa wa Dar, ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama, Albert Chalamila amesikika akitoa kauli hizi tatu kwa ujasiri mkubwa; 1...
2 Reactions
14 Replies
658 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,447
Posts
49,631,894
Back
Top Bottom