Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Skendo inayomuandama msanii maarufu wa miondoko ya HipHop wa nchini Marekani, Puff Daddy a.k. P Didy, inazidi kupamba moto baada ya CNN kupandisha mitandaoni video inayomuonesha akimpiga vibaya...
9 Reactions
104 Replies
2K Views
Kwa jinsi nilivyotonywa na paparazzi maalumu ambaye yu ndani ya chadema na ni mwanachama wao kinda kinda ki, wapo wanaopewa kipaumbele cha kifedha ili kujenga mahekalu yao na familia zao, kibaya...
2 Reactions
5 Replies
6 Views
Watanzania wengi ni matomaso, ukiwasimulia tu hivi hivi, hawaamini. Nashauri gari ya Tundu Lissu isibadilishwe muonekano wake baada ya kupigwa risasi, matundu ya risasi yabaki, gari itengenezwe...
8 Reactions
96 Replies
1K Views
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema amekabidhiwa gari lake lililokuwa kituo cha police likiwa halina plate number Lisu amesema ana Taarifa number za Gari lake zinatumiwa na Mtu...
1 Reactions
4 Replies
5 Views
Alphard for sale year 2004, cc 2360,2AZ engine, petrol, 68,000 km,black color, Double sunroof, clean condition and automatic 076442372
0 Reactions
7 Replies
192 Views
Wana bodi habari za asubuhi kutoka upande wa malampaka hizi ajira za jeshi letu la polisi kwa nini website yao iko down muda wote ukianza utaratibu wa kuomba baadae unagoma kufunguka ata izo siku...
2 Reactions
2 Replies
36 Views
1. Kwamba huduma zenu ni kwa muda na kwa MB za bando? 2. Kwamba bando hu expire kwa siku au MB kuisha kutegemea kipi kinakuja mapema? 3. Kwamba mtandao umesua sua kwa takribani wiki nzima...
11 Reactions
86 Replies
1K Views
Vijana wengi tunachangamoto ya kupata kianziO au mtaji kwajili ya kuanzisha biashara ndogondogo masikani kwetu. Unaweza kutimiza Ndoto zako sasa na kujitengenezea kipato kikubwa kitakachokidhi...
0 Reactions
7 Replies
71 Views
Nimegoogle ni ipi njia rahic ya binadamu kujiua no exact results, ukienda hospital kumuuliza daktar anakwambia ipo nje na maaadili ya kaz hata ukimuahid hela akwambii nimepost apa jamiiforum...
1 Reactions
27 Replies
249 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,833
Posts
49,641,895
Back
Top Bottom