Ameyasema hayo mbele ya Mkuu wa Mkoa Mh Chalamila alipofanya ziara wilayani hapo. Mheshimiwa Chalamila ameahidi kukutana na Mkuu wa Majeshi.
Hii imekaaje wadau maana naona kiongozi wa Serikali...
Mahusiano yana siku 3 nikamwambia Jmosi tuvunje amri ya 6 akasema mpaka nimzoee nijiridhishe kama ana tabia njema naye pia ajiridhishe ndipo tufanye. Hivi mtu munaishi mitaa tofauti muchunguzane...
Carlo Ancelotti raia wa Italia ana rekodi kubwa ya kuwa kocha aliyefika Fainali 5 na kubeba mataji manne ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League), mara 2 akiwa AC Milan na mara 2 akiwa...
Mbunge anasema na au anakana kwamba yeye si Raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania “Mtanzania”.
Sasa Humo Bungeni anafanya nini?
Hatuna Nchi inayoitwa Zanzibar wala nchi ya Tanganyika. Tuna...
Jamaa alikua anatoa ilmu ya kurani huku akiwalawiti hao wavulana, wakaamua kuungana na kumpa madawa ya usingizi, alipolala wakamuua.....bora akapewe mabikira kule.
‘He was sexually abusing us’: 6...
Kwa mujibu wa mtandao wa Score 90 wametoa kikosi chao bora cha muda wote katika soka. Unakubaliana nao, kama hukubalianai nao nani anatakiwa awepo kikosini?
1. Kwamba huduma zenu ni kwa na kwa MB za bando?
2. Kwamba bando hu expire kwa siku au MB kuisha kutegemea kipi kinakuja mapema?
3. Kwamba mtandao umesua sua kwa takribani wiki nzima, ila...
Ni muda mrefu tangu mwezi wa pili kama sio januari tangu mitihani ya leseni ifanyike.
Nauliza hivi hakuna mkataba wa huduma kwa mteja? Hivi ninyi mnaweza kuamua tu mkusanye pesa halafu mnakaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.