Kuna mtu anaitwa Eldadi, mwingine ni Elia kumenya na mch. Flora! Je, ni nguvu gani wanatumia kutabiria watu vifo? Kurogwa na mambo mengine kama hayo.
Kwa anayewafahamu anisaidie
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Wakili Albart Msando(kulia) akimkabidhi mtungi wa Taifa Gas Shekh wa Wilaya ya Handeni, Shaban Kizulwa wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi 300 ya Taifa Gas Bure kwa...
CHADEMA WAMKALIA KOONI LISSU NI MNAFIKI AOMBE RADHI - ASIJITOE AKILI
Kamati kuu CHADEMA imemuhoji Makamu Mwenyekiti na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Tundu Lissu kwa kuudanganya Umma kuwa...
Rais Rutto amesema wamefanikiwa kuirejesha Uganda kwenye Bandari ya Mombasa baada ya mgogoro uliokuwepo kupatiwa ufumbuzi
Ruto amesema mgogoro huo ulisababisha Uganda ifikirie kutumia Bandari za...
Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu ya kila asomae.
Kuna mtihani mkubwa umewakumbuka wananchi wengi Leo unaosemekana kusababishwa na gari ya jeshi kuharibika na kipande cha barabara kufungwa kwa muda...
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mbili kwa siku abiria (600x2) pamoja na mashirika mengine kama...
Mapepo Hutumia Bidii Kutafuta Makao Ndani Yako
Bibilia inatupatia baadhi ya mifano ya watu waliopagagwa na mapepo au kuathirika na mapepo. Kutokana na mifano hiyo tunaweza kupata dalili za...
Nimejiuuliza zilipo kanuni za kusimamia uchaguzi wa serikali za mtaa. Nimezisaka mitandaoni na kwenye gazeti la serikali zijaziona.
Lakini Mzee Lipumba na Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi wanasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.