1. Wasomi wengi tuna Dharau kwa wale Wasiosoma
2. Wasomi wengi ni Wabaguzi hasa kwa wale Wasiosoma
3. Wasomi wengi tunadhani Kusoma sana ndiyo kuyapatia Maisha
4. Wasomi wengi tunaishi Maisha...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Nimeweka uzi wa kumuomba nguli wa AI na robotics na teknolojia kwa ujumla mh Nape atoe msaada kwa polisi Tanzania kwenye mfumo wao ulioshindwa kupatikana kwa toka siku ya kwamza mods wameufuta...
Sina utani kabisa kwenye hili jambo nimedhamilia , kama vijana wa nchi hii ,tuliweka Imani kubwa sana kwa vyama vya siasa vilivyopo ,tangu mwaka 1995 mpaka sasa ,hakuna chama hata kimoja ambacho...
Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amewataka Watanzania kamwe wasikubali kurudi kwenye Bakora za Shujaa Magufuli aliyewanyoosha kwa kuzuia mikutano ya kidemokrasia
Kuna watu wanasema udikteta ni...
Daaaaahh, so sad !
Mtu unamnyima mshahara kwa miezi 2 ili afe njaa?
Ili afedheheke katika jamii?
Nakiri kuwa kwa upande wangu nilitimiza majukumu yangu ya kila siku na kutokumalizia kipengele...
Labda Mimi elimu yangu ndogo, Mchina ana technology gani ya kumzidi USA🇺🇸
Nikiangalia wale mabwana kila sector wapo vizuri.
1) Upande wa ndege hawana mpinzani
2) Mambo ya space science ni hatari...
Naomba kuuliza app ikiwa ya bure inaingizizaje hela?
Je mfano watu milioni 2 wame download app yangu na kuitumia..kila siku....naweza vuna kiasi gani?Kwa mwaka?...kutoka wwpi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.