Watanzania wengi ni matomaso, ukiwasimulia tu hivi hivi, hawaamini. Nashauri gari ya Tundu Lissu isibadilishwe muonekano wake baada ya kupigwa risasi, matundu ya risasi yabaki, gari itengenezwe...
Skendo inayomuandama msanii maarufu wa miondoko ya HipHop wa nchini Marekani, Puff Daddy a.k. P Didy, inazidi kupamba moto baada ya CNN kupandisha mitandaoni video inayomuonesha akimpiga vibaya...
Kwa jinsi nilivyotonywa na paparazzi maalumu ambaye yu ndani ya chadema na ni mwanachama wao kinda kinda ki, wapo wanaopewa kipaumbele cha kifedha ili kujenga mahekalu yao na familia zao, kibaya...
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema amekabidhiwa gari lake lililokuwa kituo cha police likiwa halina plate number
Lisu amesema ana Taarifa number za Gari lake zinatumiwa na Mtu...
Wana bodi habari za asubuhi kutoka upande wa malampaka hizi ajira za jeshi letu la polisi kwa nini website yao iko down muda wote ukianza utaratibu wa kuomba baadae unagoma kufunguka ata izo siku...
1. Kwamba huduma zenu ni kwa muda na kwa MB za bando?
2. Kwamba bando hu expire kwa siku au MB kuisha kutegemea kipi kinakuja mapema?
3. Kwamba mtandao umesua sua kwa takribani wiki nzima...
Vijana wengi tunachangamoto ya kupata kianziO au mtaji kwajili ya kuanzisha biashara ndogondogo masikani kwetu.
Unaweza kutimiza Ndoto zako sasa na kujitengenezea kipato kikubwa kitakachokidhi...
Nimegoogle ni ipi njia rahic ya binadamu kujiua no exact results, ukienda hospital kumuuliza daktar anakwambia ipo nje na maaadili ya kaz hata ukimuahid hela akwambii nimepost apa jamiiforum...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.