Wakuu kama kichwa kinavojieleza hapo, naomba mwenye kufahamu niwapi nitapata cheapest domain.
Pia,ninahitaji kujua mfumo mzima kama hosting inakuaje na gharama zake.
Kwa umoja wetu, Tukiamini sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, Na kamwe watawala hawajawahi kuishinda nguvu ya umoja wa umma ambao ndiyo sisi watanzania, Tuungane kukemea, Kupinga na kuchukua hatua...
Wabakaji wa siku hizi siyo kwamba wanasukumwa na hamu ya k. Hapana.
Siku hizi k ziko nje nje. Kuna mpk za mkopo. Kama hutaki k za mkopo basi kuna zile za buku 1, 2, 3, 5,10, na kuendelea...
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu leo 17/05/2024 amekabidhiwa lile gari lake alilokuwemo siku mawakala wa Shetani walipoamua kumuua baada ya kushindwa...
Yaani jitu limeenda shula haadi chuo, lakini hajui tofauti ya ‘Meter’ na ‘Square meter’.
Bidhaa imetanganzwa kwamba bei ni kiasi ‘X’ kwa ‘Square meter’ , ila yeye anakuja anakwambia anataka...
Habari ndugu zangu, leo imetokea ajali kubwa Mbagala wamekufa watu zaidi ya wa 4. Ajali hii imepelekea wananchi kufunga barabara, na kuandamana kwasababu wanadai hii ni ajali kama ya 30 hivi na...
Mtanzania Mansoor Daya amefariki dunia jijini Dar es Salaam. Daya alikuwa mtu wa kwanza nchini kufungua kiwanda cha madawa Tanzania na Afrika Mashariki mwaka 1962 akianza kwa kuziuzia nchi jirani...
HABARI WANA JF
LEO TUPEANE MBINU NA TUWAPE MBINU VIJANA WENZETU
AU NDUGU ZETU
NAOMBA LEO TU SHARE IDEA JE
ULITUMIA NJIA GANI KUACHANA NA MCHEZO MCHAFU WA KUJICHUA
??????????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.