Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Yaani umeonana tu mtu mlisoma nae na hamjawahi kuonana takribani miaka 15, ghafla tu anakwambia mwaka huu naoa kadi yangu ya harusi hii. Naomba namba yako nikuunge kwenye group. Miaka yote hiyo...
12 Reactions
31 Replies
440 Views
Taarifa za chini ya capet ni kwamba, taratibu za awali zimeshakamilika ikiwa ni pamoja na jina la chama, rangi za chama, nembo pamoja na logo ya chama. Majibu ya msajili yatatoa uelekeo. Nyuma ya...
5 Reactions
44 Replies
879 Views
Jamaa alikua anatoa ilmu ya kurani huku akiwalawiti hao wavulana, wakaamua kuungana na kumpa madawa ya usingizi, alipolala wakamuua.....bora akapewe mabikira kule. ‘He was sexually abusing us’: 6...
3 Reactions
35 Replies
979 Views
1. Kwamba huduma zenu ni kwa muda na kwa MB za bando? 2. Kwamba bando hu expire kwa siku au MB kuisha kutegemea kipi kinakuja mapema? 3. Kwamba mtandao umesua sua kwa takribani wiki nzima...
6 Reactions
54 Replies
581 Views
Chabo vyuoni wanaita deo, yaani nimeleta wapangaji hawana miezi miwili ikifika saa sita naanza kuhondomola shemeji yenu nasikia kama panya anakwaruza ukuta. Mwanzo nkavumilia nkahisi pakaa sasa...
0 Reactions
4 Replies
27 Views
Kwa wale wasiotaka au wasiopenda Dodoma kuwa makao makuu ya nchi kwa sababu eti mji mdogo kuliko Dar es Salaam au Arusha, basi kwa taarifa yenu kuna nchi nyingi tena nchi kubwa na maarufu katika...
5 Reactions
41 Replies
1K Views
  • Sticky
Full name: Liverpool Football Club Nickname(s): The Reds Founded: 3 June 1892 League: Premier League Website: LiverpoolFC.com Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m...
124 Reactions
143K Replies
7M Views
ANAANDIKA BICHWA KOMWE:- Hizi shule zinazoitwa "international schools" zinafundisha nini cha ziada sana ambacho hakimo penginepo? Ni kweli, shule zina mazingira mazuri na yanayofurahisha, lakini...
19 Reactions
139 Replies
3K Views
Dunia ya leo watu wengi hufanya utalii wa ndani au wa nje ya nchi zao si kwa ajili ya vivutio vya asili vya mazingira na majengo tu bali kwa ajili ya kufurahia utalii wa vyakula vya asili na...
19 Reactions
2K Replies
42K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,472
Posts
49,632,683
Back
Top Bottom