Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimeisoma kwa kiasi fulani Imani ya Kiarabu na Kiyahudi. Hizi imani mbili zinafanana, zote zinamkana Yesu Christu ndio maana maisha yao ni ya laana ya vita hadi hadi Yesu arudi. Warabu na Waarabu...
9 Reactions
75 Replies
1K Views
Habari Wana JF leo Kama Kawaida Mimi mtu wa Kufuatilia Historia Mbali mbali Twende na Mimi. KIFO CHA ADOLF HITLER, TAREHE 30/04/1945: Adolf Schickelgruber, A.K.A Hitler alikuwa mzaliwa wa nchi...
1 Reactions
9 Replies
439 Views
Nimekuta hizi sms wife akichat nimezitilia mashaka please naomba msaada wenu wa kupata maana yake Baada ya kuzikuta niliamua kuji fowadia bila yeye kujua na kuzifuta ili asitambue
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kwanza, nyuzi kama hizi ni muhimu sana katika jamii ili kuelimisha na kukumbushana juu ya hali halisi za Maisha, UKIMWI UPO NA UNAUA. Huu ni ukweli ambao kila mtu anapaswa kuujua ya kwamba, UKIMWI...
17 Reactions
49 Replies
488 Views
Taarifa za chini ya capet ni kwamba, taratibu za awali zimeshakamilika ikiwa ni pamoja na jina la chama, rangi za chama, nembo pamoja na logo ya chama. Majibu ya msajili yatatoa uelekeo. Nyuma ya...
7 Reactions
86 Replies
2K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
17M Views
Jamani nisaidieni, mwenzenu sijawahi kuumwa jino huko nyuma ila sasa nahisi maumivu kwenye meno ya mwisho mpaka sikioni na kushuka kwenye shingo. Sijalala mpaka saivi nisaidieni
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Iko hivi, nina biashara ambayo niliifungua kupitia familia, wakati huo nilikuwa bize na shule na umri haukuruhusu kupewa nyaraka na gavoo, pia familia hawakutaka nijihusishe na side hustle ila...
2 Reactions
22 Replies
335 Views
Moja Kwa Moja kwenye points aisee hivi karibu idadi kubwa ya masingle mama imeongezeka Kwa Kasi ya ajabu kila nitakae piga nae story Moja mbili hivi anasema yeye yupo single na anawatoto tu...
3 Reactions
16 Replies
304 Views
Hii kampenzi ya kuchanga ili kumnunulia gari jipya la kifahari Makamu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ni dhihaka iliyopitiliza kwa mwananchi wa kawaida. Tofauti kati ya wabunge wanaopitisha...
0 Reactions
7 Replies
132 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,725
Posts
49,639,158
Back
Top Bottom