Kwanza, nyuzi kama hizi ni muhimu sana katika jamii ili kuelimisha na kukumbushana juu ya hali halisi za Maisha, UKIMWI UPO NA UNAUA. Huu ni ukweli ambao kila mtu anapaswa kuujua ya kwamba, UKIMWI...
Taarifa za chini ya capet ni kwamba, taratibu za awali zimeshakamilika ikiwa ni pamoja na jina la chama, rangi za chama, nembo pamoja na logo ya chama. Majibu ya msajili yatatoa uelekeo.
Nyuma ya...
Iko hivi, nina biashara ambayo niliifungua kupitia familia, wakati huo nilikuwa bize na shule na umri haukuruhusu kupewa nyaraka na gavoo, pia familia hawakutaka nijihusishe na side hustle ila...
Moja Kwa Moja kwenye points aisee hivi karibu idadi kubwa ya masingle mama imeongezeka Kwa Kasi ya ajabu kila nitakae piga nae story Moja mbili hivi anasema yeye yupo single na anawatoto tu...
Hii kampenzi ya kuchanga ili kumnunulia gari jipya la kifahari Makamu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ni dhihaka iliyopitiliza kwa mwananchi wa kawaida. Tofauti kati ya wabunge wanaopitisha...
Labda Mimi elimu yangu ndogo, Mchina ana technology gani ya kumzidi USA🇺🇸
Nikiangalia wale mabwana kila sector wapo vizuri.
1) Upande wa ndege hawana mpinzani
2) Mambo ya space science ni hatari...
Liza Anasema alifanya makosa kingine utoto Tu anasema nilikua mwanaume sahihi kwake mi sijui....... Usikite mbele nami ningekua kivuruge
Anasema nimsamehe Sana akili za kitoto Tu zile maisha...
"Tunaona uwekezaji mkubwa sana ambao Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameufanya katika nchi yetu, tumetembea katika Hospitali mbalimbali za Rufaa za Kikanda na Hospitali za Mikoa" - Mhe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.