Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Serikali imewataka wananchi kuelewa kwamba hakuna Malipo ya Fidia kwa walioathiriwa na bomoabomoa ya kupisha utanuzi wa barabara ya Kimara-Kibamba Serikali imesema bomoabomoa hiyo ilitumia Sheria...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kuna mdau analalamika "Nimetafuta hela, nimezipata. Mwili umekubali na nimenona, lkn wanawake hawanitaki. Sababu ambazo wanawake wanazitoa ni kwamba nimenenepa sana, nina kitambi kikubwa"...
2 Reactions
2 Replies
3 Views
Ndugu zangu, kwasasa nipo nje ya ajira. Nahitaji kuchukua mafao yangu ya NSSF. Sasa, jina langu la kwenye account ya NSSF limetofautiana kidoogo na jina langu la kwenye kitambulisho Cha kupigia...
3 Reactions
9 Replies
179 Views
Taarifa Ikufikie popote ulipo, kwamba, Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, David Concor amefika Hotel Desderia ya Jijini Mbeya na kukutana na Bilionea Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo Habari...
2 Reactions
12 Replies
190 Views
Salaam, Shalom!! Kuna wimbi linaendelea kujitokeza la vifo tata kuhusu viongozi wa kiroho. Miezi kadhaa iliyopita, yaliripotiwa matukio ya Padri kukutwa ameuwawa na kutupwa, wengine wakiuwawa...
3 Reactions
62 Replies
473 Views
A
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Marekani, kuna Mtanzania mwenzetu mbaye alikuja kama Mwanafunzi hapa, sijui vizuri kuhusu historia yake huko nyuma. Miaka kadhaa iliyopita alipata changamoto ya Afya...
85 Reactions
445 Replies
14K Views
  • Sticky
Full name: Manchester United Football Club Nickname(s): The Red Devils Founded: 1878 as Newton Heath LYR F.C | 1902 as Manchester United F.C. League: Premier League Website: ManUtd.com...
169 Reactions
201K Replies
11M Views
Ndugu zangu Watanzania, Michago ya kumchangia Lissu Fedha za kununulia Gari imewaumbua sana CHADEMA, imewapa aibu,fedheha ,imewavua nguo hadharani na imeonyesha na kuthibitisha kauli yangu...
8 Reactions
69 Replies
701 Views
Sijamsikia siku mbili hizi. Hakuongoza kikao cha Kamati Kuu Unguja. Siku hizi wapo watu wengi wanautamani urais,kwa hiyo rais akitoweka lazima tuulize
22 Reactions
123 Replies
3K Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views

FORUM STATS

Threads
1,855,837
Posts
49,674,403
Back
Top Bottom