Michango ya kununua gani la Lisu imewafanya wana CCM wacha Mungu waamue kutoa pesa zao kama sadaka ya kufuta dhambi iliyotendwa kwa kiumbe hiki kisicho na hatia.
Wapo waumini wa kanisa moja...
Bila shaka wengi wetu tunajua huyu mdada alifiwa na mume wake wa kwanza.
Baadae akatokea ustaadhi mmoja hapa chuga akamsilimisha na kumfanya mkewe.
Baada ya muda dogo akadoda wakachana akawa...
MARA NNE MFULULIZO, MARA SITA KWA MIAKA SABA
2018: Manchester City 🏆
2019: Manchester City 🏆
2020: Liverpool 🏆
2021: Manchester City 🏆
2022: Manchester City 🏆
2023: Manchester City 🏆
2024...
Mzuka wanajamvi!
Usiku wa kuamkia leo kwenye uzi wa mwamba P didy ikimuonesha akimpiga "gelfrend' wake wa zamani kwenye korido za hoteli ya intercontinental akiwa amevaa taulo. Tulimpinga sana GT...
Watu Wenye busara huyaangalia madhara ya matokeo na kuyakinga.
Wakati mnapanga fainali ya CRDB federation cup kufanyika Manyara wiki mbili zilizopita ni Wazi hamkuzingatia madhara ya matokeo ya...
Wakuu habari za muda huu najua mko njema tunaendelea kupata pumzi ya bure na Mungu atubariki
Kama kawaida kuna wakati mtu unapambana na inafika hatua unatamani uwe na kwako uchomoke kwenye mambo...
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Marekani, kuna Mtanzania mwenzetu mbaye alikuja kama Mwanafunzi hapa, sijui vizuri kuhusu historia yake huko nyuma.
Miaka kadhaa iliyopita alipata changamoto ya Afya...
Tumsifu Yesu Kristu wapendwa
Jamaa zetu walokole wamekuwa wakinijinasibu kuwa wameshikilia wokovu yaani wameokoka, leo ningependa watupe elimu hasa juu ya wanachokiita kuokoka baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.