Je unajiskiaje wenzako wa rika lako wakiwa mbele kimaendeleo Yani wamekuacha.
Je utakuwa Karibu nao kwa kujipendekeza ili wakupe connection Au utaamua kujitenga nao?
Ligi ya NBC inaendelea leo ambapo Simba SC itapambana na Geita Gold kwenye uwanja wa Chamazi Complex.
Simba inatafuta nafasi ya 2 huku Geita Gold ikijinusuru kushuka daraja.
Mechi hii itapigwa...
Nice guy mwingine kauziwa mbuzi kwenye gunia. Juzi kati nimepewa taarifa kuna demu anaolewa, huyu demu tumesoma pamoja chuo.
This is not personal but the trust is huyu demu kakitombesha sana...
Evidence Is Now emerging Indicating the Iran Presidential Helicopter Crash WAS an Assassination
MAY 20, 2024
The crash of the Iran Presidential Helicopter is starting to appear to be a...
Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu Watanzania kuwa Serikali yao ya awamu sita ina nia na dhamira njema dhidi yao.
Katika kipindi Cha DK 45 Cha ITV Kafulila...
Kihasibu Mo Dewji hana anachodaiwa Simba, Ana kila haki ya kuifanya Simba iwe mali yake, Hata kumpa 49 % bado ni ndogo ukilinganisha na jinsi alivyoisaidia Simba.
Licha ya kutumia kiasi cha...
Maisha yangu kwa muda mrefu nimekuwa nikiwa mdau wa kupenda sana ku hang na marafiki, nilipofika kwenye 25 nikaanza ku hang zaidi na small circle ya marafiki watano tu ambao tupo karibu sana
Kwa...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!
Nimekuwa nikiwasikia watu wanaojiita "Madaktari" pamoja na watu wanaojiita "Wataalamu wa lishe" wakizungumza au wakitoa ushauri wa namna ambavyo...
Taarifa hii iwafikie wabishi wote popote walipo, kwamba, ndani ya Tanzania kuna viwanda vya magari 13
Waziri wa Viwanda Dkt Kijaji amethibitisha
---
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu...
Sifa zake:-
1. Awe ni rais mstaafu wa JMT mkongwe kuliko wote.
2. Awe amehudumu kiti cha urais kwa mihula 2 (miaka 10).
Majukumu yake.
1. Kuridhia maamuzi ya serikali juu ya uuzwaji ama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.