Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mambo vipi wakuu hapa juzi Kati nilinunua simu ya redmi used note 12 5g ushauri alinipa mkuu Chief-Mkwawa hii simu nimeuza baada ya mwama mmoja kuja na dau kubwa zaidi ya lile nililo nunulia...
0 Reactions
2 Replies
42 Views
Niliwahi kuwa na binti mmoja mrembo kwelikweli toka visiwani kizimkazi. Siku ya kwanza nikakuta kikombe kaingia nacho chooni anapiga mswaki. Sijakaa sawa kachukua ndoo ya chooni kakingia maji...
16 Reactions
41 Replies
450 Views
Lilikuwa ni suala la muda tu na hatimaye unaweza kusema tumerudi nyuma au tumerudi kwenye maisha yetu ya kawaida au tuliyozoea. Daladala za kutokea Mbezi mpaka Mnazi Mmoja kupitia Manzese...
5 Reactions
23 Replies
590 Views
Inasemekana: Kwa Sheria ya Tanzania, hakuna mtu anayeweza kumiliki ardhi. Anaweza kupangishwa tu, labda kwa kipindi cha miaka 99. Kwa Sheria za Tanzania, Rais ndiye "mmiliki" wa ardhi yote...
0 Reactions
7 Replies
55 Views
Serikali ya Tanzania inatarajia kusaini Makubaliano ya Mkopo wa Riba Nafuu wa takriban Tsh. Trilioni 6.51 kutoka Serikali ya Korea Kusini kupitia ziara itakayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan...
0 Reactions
22 Replies
676 Views
Nimemuangalia huyu striker mpya wa Azam you tube, natema mate Chino.Hawa Azam safari hii labda wafanyiwe kafara zito, Blanco ana balaa, pengine anaweza kuwa striker bora ambaye hajawahi kutokea...
1 Reactions
12 Replies
330 Views
Mbaya zaidi dogo hakuomba combination yoyote ya arts katika maombi yake ya uchaguzi (selform)..... machaguo yOte matano ye ni PCM, PCB AU CBG. Kijana amepambana kwenye shule yake ya kata hadi...
8 Reactions
45 Replies
643 Views
Je, unaridhishwa na hatua zinazochukuliwa na Mamlaka katika kushughulikia Matukio na Taarifa za Rushwa na Ubadhirifu nchini? Unaweza kutoa maoni yako na kupendekeza njia Bora za kupambana na...
0 Reactions
4 Replies
97 Views
Raisi wa Uturuki povu limemtoka, anataka mataifa ya Kiislamu yaungane dhidi ya taifa la Israel. Mimi naona huyu jamaa ni mnafiki kama wanafiki wengine.
7 Reactions
119 Replies
2K Views
The Weekend - Out of Time
18 Reactions
4K Replies
74K Views

FORUM STATS

Threads
1,858,667
Posts
49,752,459
Back
Top Bottom