Natumai wazima wote,.
Iko hivi, kila siku zinavyoenda ndivyo ambavyo naogopa kuja kuitwa mama hapo baadae( Mungu anisaidie niondokane na hii hofu😓🥹🙏), hiii inatokana na lifestyle ambayo namwona...
Mbunge wa viti Maalumu Mkoa wa Mbeya bibie Fyandomo amesema Mtu akienda Mbeya hawezi jua mjini ni wapi Kutokana na Mpungilio wa Jiji lenyewe.
Akaonheza kwamba watu wa Mbeya wanataka Jiji lao...
Ukiacha Ufalme wa Mungu jambo la pili lililotawala hotuba, story mifano ya Yesu lilikuwa ni Pesa/Mali na uchumi. Hili alilizungumzia sana kuliko Maombi na Imani.
Zipo sababu nyingi, ila hii ni...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye (MB), akiongozana na Naibu Katibu Mkuu, Nicholaus Mkapa ameongoza kikao kazi cha ujumbe wa Tanzania katika ofisi ya balozi...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, amesema anawashangaa wanaojitokeza kusema anawadhalilisha Watumishi baada ya yeye kuwakosoa Wala rushwa na Wazembe wakati Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda: Kwa umri huu nitishike na kauli za watu? Mtapata watu wengine watakaowapetipeti, nasikia wanaangaika na mitandao.
---
Akiwa wilayani Monduli RC Makonda...
nimekua nikimpenda sana @_ephen sijui ndo nimekosea handle yake ?.
ila nimempenda sana... sana, siwezi kuelezea ni jinsi gani.
lakini pia nimekuja kugundua watu wengi pia wanampenda huyu Binti...
Sikuwa nafahamu kwamba huyu Tundu Lissu ana Ushawishi Mkubwa namna hii sio tu leo ambapo tunamuona kwenye Jukwaa la Siasa bali kazi ya kutetea Nchi, Taifa na Wanachi wake ameianza Zamani ktk Ujana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.