Wakuu Salaam,
Toka nimekaa hapa Jiji la Chalamila, Jana ndio mara yangu ya kwanza kufika Mbagala na kulala huko. Huu Ndio Mtazamo wangu na Baadhi ya niliyoyashuhudia Mbagala..
1. Mbagala Ina...
tv ziko poa kabisa na ni mpya zilikua sampo dukani bei yake ni Tsh170000/= mikoani pia tunatuma ila garama ni zakwako mwenyewe, tunapatikana kariakoo mtaa wa msimbazi karibia na jengo la simba...
Hizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga, ni kama uwe mahabusu halafu mkeo...
Mzee Wa upako anaamini Yesu Sio Mungu ni mojawapo tu wa viumbe vilivyoumbwa na Mungu msikilize mwenyewe akiongea
https://youtu.be/arslWzOsg6U?si=kb8B1gDqxFl-jXq8
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Habari kamili
Mwaafrika mmoja mtanzania amefanikiwa kuwa Tishio kwa wahisani 350 walio kuwa wakiwafadhili vijana wa kitanzania kwa miaka zaidi ya 20 katika shirika la living waters ( LWMT ) kutoka...
Unakutana na jamaa analalamika yule demu nampa kila anachokitaka lakini kila nikimuomba ulumbuzi ananipiga kiswahili ...
Mahusiano ya hivi nimeyaona mengi sana..
Wengine walienda karibia miaka 2...
Wananchi wanaojitokeza kulalamika kwa mkuu wa Mkoa Makonda ni wengi sana, kama vile hakukua na serikali hata kidogo. Lakini inafahamika kuwa ni CCM iliyoko madarakani tangu nchi pate uhuru 1961...
Habari ya kazi wakuu!!
Naomba kwenda moja kwa moja kwenye hoja.
Hili nimekaa nalo sana tangu tarehe moja hadi leo na kila siku linaniumiza, nikikaa na wafanyakazi wenzangu naona wanahoja tofauti...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.