Salam za wakati huu jamvini, naimani hamjambo na wazima wa afya kabisa na mnaendelea kulijenga taifa la mpate japo kitu kiende kinywani.
Bila kupoteza muda na kuifupisha makala hii, naweza kusema...
Wakuu swalama?
Kuzorota kwa huduma gani au shirika gani kutafanya usiipigie tena kura CCM ikafie mbele?
1. Kwakweli kwangu TANESCO ni namba moja, naashum TANESCO ni mbunge, anafanana na yule...
Hapo jana Misri imetoa tamko kuwa kuanzia sasa haitotoa ushirikiano tena na Israel katika kupitisha misaada mpaka wa Rafah.
Nongwa hiyo ya Misri ni kwa vile ati Israel imejichukulia jukumu la...
Mimi naweza kufafanya kitu kibaya kabisa kwa majibu ya chooni kama haya.
Sina maneno mengi ila inasikitisha sana kwa hali ilivyo siku hizi hawa wanawake watatuuwa tukiwa bado vijana wadogo...
Jimmy Carter ni rais wa Marekani wa 39 ambaye mnamo oktoba 1 mwaka 2023 alikuwa akisherehekea miaka yake 99 tangu kuzaliwa kwake mwaka 1924.
Rais huyo mstaafu alitwala Marekani kuanzia mwka 1977...
Huko KIA wananchi 34 wamebomolewa nyumba zao huku fidia ikiwa haijalipwa kwa madai taratibu za kibenki hazijakamilika. Mkuu wa mkoa anadai pia ni 'huruma ya mama' wao kulipwa fidia kwasababu ni...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
DODOMA: Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amelitaka Jeshi la Polisi kukamilisha mchakato wa matumizi ya Kamera zitakazokuwa zikivaliwa na Askari wakiwemo wa Usalama Barabarani kwa lengo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.