Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hii ni sawa ? kwamba kuna dini zinatakiwa kujua kuna wanafunzi wangapi mashuleni bila kueleza nini kinataka kufanyika? maana kama ni suala la waumini sio lazima kwenda shuleni unawapata kwenye...
11 Reactions
120 Replies
2K Views
huyu ni waziri muongo sana,na ni mnafiki na mfitini mkubwa.hotuba zake zimejaa unafiki na ni mla rushwa mkubwa sana.kila ziara anayofanya mikoani hulazimishwa kupewa rushwa na wakurugenzi wa...
2 Reactions
10 Replies
142 Views
Siasa za dijitali, siasa za mitandaoni, siasa za Instagram, siasa za uchawa. Ukiwa na akili timamu huwezi kushabikia siasa za Makonda na umapepe wake wa kulazimisha kukubalika Kila pembe ya...
1 Reactions
9 Replies
122 Views
Ungekuwa kwenye situation ya wabunge 19 waliofukuzwa CDM lakini bado wapo bungeni kwa hisani ya "mahakama." Ungefanyaje kuelekea uchaguzi wa 2025? Ungerudi CDM, ungeenda CCM au chama kingine? Kila...
4 Reactions
25 Replies
538 Views
Wananchi wanaojitokeza kulalamika kwa mkuu wa Mkoa Makonda ni wengi sana, kama vile hakukua na serikali hata kidogo. Lakini inafahamika kuwa ni CCM iliyoko madarakani tangu nchi pate uhuru 1961...
11 Reactions
38 Replies
2K Views
Tuongee ukweli kati ya Yammi na mke wa Barnabas nani mzuri be honest😜
6 Reactions
103 Replies
2K Views
Mnakimbia mataifa yenu, mnagoma kukimbilia mataifa ya waislamu na kuchagua kwenda bara Uropa kule ambako mnazaliana, ila mnataka hao huko Uropa wabadilishe mila na desturi zao ziendane na...
4 Reactions
38 Replies
502 Views
Sababu za Wanaume Kujinyonga sana ni zipi hasa? --- 79% ya waliojiua Marekani 2022 ni Wanaume Marekani imeweka rekodi ya kuwa na idadi kubwa zaidi ya watu waliojiua mwaka jana, ambapo zaidi ya...
0 Reactions
8 Replies
749 Views
Mimi ni mwanaume natafuta mchumba awe anaishi dar Umri 20-35. Umri wangu 32. Asiwe slay queen. Ajue thamani ya mwanaume Mwanamke serious anifate inbox aache kuchat chat hapa.
6 Reactions
46 Replies
348 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,119
Posts
49,590,499
Back
Top Bottom