Blinken aitolea wito Hamas ikubali 'pendekezo barabara sana' la kusitisha vita Ghaza
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken ameitolea wito Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina...
Wakuu,...unaanzaje anzaje kutongoza mishangazi maana mishangazi unapoifata inakuwa seriouz sana..halafu ukienda kichwa kichwa unaweza ukakemewa na mshangazi hadi uone siku yako imeenda...
Mabingwa wa nchi Young Africans leo wanashuka dimbani kumenyana na Tabora United katika hatua ya robo fainali ya michuano ya CRDB Bank Federation cup.
Mchezo huu utapigwa katika dimba la chamazi...
Hakika hiki ni kichekesho! Katika siku muhimu kama Mei Mosi kwa wafanyakazi.wanaowazia hatima ya kazi zao, mishahara na mafao yao ya kustaafu, pension zao, kupandishwa vyeo na kila linalowasibu...
Habari zenu viongozi,
Kesho nina mpango wa kutembea jiji zima kuomba internship, je naweza kuambatanisha barua ya maombi na vyeti vya degree pekee? Lengo la kufanya hivi ni kuwashawishi waajiri...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Ndugu zangu Watanzania,
Katika sherehe za leo zinazoendelea mkoani Arusha na kwa nanmna zilivyofaana na kupendeza na kuvutia na kubwa zaidi kwa namna watu walivyofurika na kumiminika ni haijawahi...
Wakuu habari za jioni? Kama tittle inavyosema huyu ni mke wa mtu nilikuwa napiga zamani ila nikaamua kumuweka pembeni lakini bado haelewi somo anasema bora ndoa yake ivunjike ila sio kuachana na...
Kwanini ukiishi nchi za wenzetu zilioendelea zenye ajira nyingi, maisha mazuri safi good hygiene medical care nzuri nk. Lakini stress miongoni mwa watu ziko high mpaka kusababisha high blood...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.