WELCOME TO BORUSSIA DORTMUND OFFICIAL THREAD
Ballspielverein Borussia 09 e. V. Dortmund, commonly known as Borussia Dortmund [boˈʁʊsi̯aː ˈdɔɐ̯tmʊnt],[2] BVB,
Full name
Ballspielverein...
Pambano la ndondi kati ya Mike Tyson na Jake Paul ambalo lilipangwa kufanyika Julai 20, 2024 limeahirishwa baada ya Tyson kupata changamoto za kiafya hali ambayo itaathiri ratiba yake ya mazoezi...
Morning members.
Kuna hali nisiyoielewa siku za hivi karibuni kwa wasichana wengi kula nauli halafu hawaendi.
Malalamiko ni mengi watuma nauli wanalalamika nauli zao kuliwa bila kuona midoli...
Habari zenu wakuu?
Kuna hoja hapa naomba kuileta kwenu..
Kama mmejaribu kufatilia, Vijana wengi sana wanathubutu kutoka mikoani na kwenda Dar es salam kutafuta maisha.
Wengi wanaenda kutafuta...
Hatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB
Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye...
Matokeo ya awali ya uchaguzi wa Wabunge yameonesha Chama tawala cha African National Congress (ANC) kina dalili za kupoteza wingi wa Viti Bungeni kwa mara ya kwanza tangu kiingie Madarakani Miaka...
[emoji673]NIMEWAJAZA MAKOLO KWA BOB MARLEY WAKAJAA [emoji2788]“Milioni 350+ Gari la Milioni 70 Kwa Goli Moja .. Yaani Kamoko kwa Mwaka Mzima Bob Marley Kalamba Mkataba wa Maajabu,
”Huu Msimu...
Waziri wa fedha Msomi Dr Mwigulu Nchemba amewaambia wabunge kuwa mkataba wa EPC +F ni " Technical" sana kwa wananchi na wabunge kuweza kuelewa.
Akitoa ufafanuzi bungeni baada ya Mbunge Halima...
1: Sos B - Kukuru kakara.
sijui kwa nini Sos B akuendelea na rap. Mwamba alikoa mmoja ya wasanii wa mwanzoni kabisa kutoa nyimbo za rap Tanzania.
2: Picko - Kikongwe (RIP)
3: JI -Kidato kimoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.