Recent content by Think Machines

  1. Think Machines

    Zifahamu Mashine mbalimbali ambazo zinaweza kukusaidia kukuza miradi midogo hapa Tanzania

    LUTIAN DIESEL WATER PUMP Outlet 4 inches Ni pump nzuri sana na inadumu Bei 1,400,000
  2. Think Machines

    Zifahamu Mashine mbalimbali ambazo zinaweza kukusaidia kukuza miradi midogo hapa Tanzania

    NBC 500 INDUSTRIAL WELDING + WIRE FEEDER bei 2.7M Ni mashine nzuri ya MIG technology ya kuchomelea kwenye heavy duty works kwa wale ambao wana garage au facilities za ku refurbish magari hasa malori makubwa hii inawafaa sana
  3. Think Machines

    Zifahamu Mashine mbalimbali ambazo zinaweza kukusaidia kukuza miradi midogo hapa Tanzania

    Easy power EP2500 Gasoline pressure washer bei 1,350,000 Unaweza kuitumia kwenye mazingira yote mjini na vijijini na imara ikitunzwa vizuri
  4. Think Machines

    Zifahamu Mashine mbalimbali ambazo zinaweza kukusaidia kukuza miradi midogo hapa Tanzania

    Tupo sinza mori ..naziandaa ntaziweka zote hapa diesel,petrol na za umeme
  5. Think Machines

    Zifahamu Mashine mbalimbali ambazo zinaweza kukusaidia kukuza miradi midogo hapa Tanzania

    Ipo mkuu Dongyin solar powered pump 1,100,000 ..1.5hp ...108 metres
  6. Think Machines

    Kuagiza gari kutoka UK vs South Africa, Japa & Singapore

    Mfano ukaagiza scania 94D kutoka UK ilikuwa flatbed ukatoa ikabaki chasis kodi itapingua wakati wa kuleta huku na itaingia kwenye category ya flatbed au tractor kwenye tra calculator
  7. Think Machines

    Zifahamu Mashine mbalimbali ambazo zinaweza kukusaidia kukuza miradi midogo hapa Tanzania

    Inch 12....3,700,000 Inch 14....4,800,000 Inch 16....5,600,000
  8. Think Machines

    Korea Kaskazini kuipatia silaha Iran na Hamas

    Mkuu kuna baadhi ya threads ulisifiaga sana ubora wa israel (merkava tanks) vs russian tanks, ikumbukwe kwenye vita vya urusi na ukraine tumeona madhaifu makubwa ya vifaru vya urusi mbele ya western ATGM ,na pia western tanks zimeonyesha udhaifu mkubwa sana ,, baada ya mzozo wa hamas na IDF...
Back
Top Bottom