Wanachama wa CCM kila siku wanasafiri makundi kwa makundi, mtu hajawahi hata kuwa na passport kafosi kapata passport huyoo China, siku moja nikamuuliza mmoja wao, mnaenda kufanya nn huko mana naona makundi yanaondoka tu, eti wanaenda kujifunza siasa za China, aloo niliumia sana sema nikakausha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.