Recent content by Stuxnet

  1. Stuxnet

    Aliyenunua mdoli na kuuweka bungeni ashikwe afunguliwe mashtaka ya uhujumu uchumi

    Hayo ni mawazo yako siyo Serikali. Kanunue na wewe robot lako
  2. Stuxnet

    Aliyenunua mdoli na kuuweka bungeni ashikwe afunguliwe mashtaka ya uhujumu uchumi

    Kumbe una kinembe? Haya kasafishe ukisubiri kuingiliwa
  3. Stuxnet

    Aliyenunua mdoli na kuuweka bungeni ashikwe afunguliwe mashtaka ya uhujumu uchumi

    Tuliza makalio. Akili yako ni ndogo kuelewa kwa nini jana Eunice akitumia alili mnemba (Artificial Intelligence) alikuwa ndiye mkaribisha wageni bungeni na kutoa ile summary ya malengo ya wizara ya mawasiliano. Dunia yote inakwenda kiteknolojia kuanzia elimu, utafiti, vita, usafirishaji na hadi...
  4. Stuxnet

    WAZIRI KUZUNGUKA NCHI NZIMA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI JE WASAIDIZI WAKE WAMESHINDWA KABISA KUTATUA AU WAO NI SEHEMU YA HIYO MIGOGORO?

    Ana set pace then watendaji wake wata follow track. Sioni ubaya. Ila kama umedhulumu kiwanja cha mtu lazima umuone Jerry Silaa ni kero au mvunja utaratibu
  5. Stuxnet

    eGA inauawa rasmi?

    Wewe wetangula ni mnufaika wa mfumo au ni mfanyakazi wa eGA. Ni kitu gani kinakuaminisha kuwa Rais ameingia chaka. Hivi haya makitu yote kuwa ofisi ya Rais yanaleta tija gani? Treasury Registrar, ATCL, eGA etc
  6. Stuxnet

    Video Clip: Wakili Madeleka kumshtaki RC Chalamila kwa kuhamasisha mauaji.

    Lazima tufuate utawala wa sheria. Ukiacha haya mambo yaendelee kama amavyosema hiyu HAYAWANI Chalamila then tutakuwa ni Jamhuri ya ndizi (Banana Republic)
  7. Stuxnet

    Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    We mpumbavu tofautisha haki na usanii ndiyo uje kwenye JF. Nani kapata haki kupitia huyo shoga Makonda?
  8. Stuxnet

    Video Clip: Wakili Madeleka kumshtaki RC Chalamila kwa kuhamasisha mauaji.

    Sawa kabisa sheria ifanye kazi wanawagisha wasiojua nakudhoofisha matumizi ya mahakama. Wananchi wangejua hatuongozwi na mtu tunaoozwa na sheria wasingeogopa.
  9. Stuxnet

    eGA inauawa rasmi?

    Wewe mwenyewe hujielewi kwa nini tukuelewe
  10. Stuxnet

    Yoweri Museveni: Sudan haitawaliki sababu Al Bashir alichagua Sudan yenye mrengo wa kidini kuliko Sudan ya wote

    Weka hapa na za Museveni sasa mbona umeandika za upande mmoja??
  11. Stuxnet

    Yoweri Museveni: Sudan haitawaliki sababu Al Bashir alichagua Sudan yenye mrengo wa kidini kuliko Sudan ya wote

    Mwambieni huyo mpumbavu kuwa hata Uganda itakuwa hivyo hivyo kama Sudan. Kwani tofauti ya Omar Al Bashir na Museveni ni nini? Omar Al Bashir kachagua udikteta wa kidini wakati huyu Museveni kachagua Udikteta wa kifamilia. Museveni amemilikisha utawala wa nchi kwa familia yake na marafiki. Sasa...
  12. Stuxnet

    Video: Ubishani ni Zanzibar ni nchi au siyo? Wenzenu upande wa Zanzibar ni Wazanzibari au Watanzania? Wasira, Rais Samia vs Tundu Lissu: Nani mkweli?

    Wakina Mtikila, Njelu Kasaka, Aboud Jumbe, Faki, Seif Sharif Hamad walilibua na kutumia lugha yenye ukakasi kuliko hii na wamekufa Muungano umebaki. Na sisi tutakufa na akina Tundu Lissu na Jussa ila Muungano utabaki. Muungano huu ungekuwa siyo mzuri na hautatui kero basi ungeshavunjika kama...
  13. Stuxnet

    Video: Ubishani ni Zanzibar ni nchi au siyo? Wenzenu upande wa Zanzibar ni Wazanzibari au Watanzania? Wasira, Rais Samia vs Tundu Lissu: Nani mkweli?

    Unamuamini Ponda badala ya historia iliyoandikwa? Huyu Ponda Mrundi anayejifanya mtu wa Kigoma? Na umri wake je ana miaka mingapi?
  14. Stuxnet

    Video: Ubishani ni Zanzibar ni nchi au siyo? Wenzenu upande wa Zanzibar ni Wazanzibari au Watanzania? Wasira, Rais Samia vs Tundu Lissu: Nani mkweli?

    Siyo kweli. Umesoma vibaya alipoandika Samuel Sitta au Sitta alijielekeza vibaya. Jina Tanzania lilianza kutumika Novemba 1, 1964.
Back
Top Bottom