Recent content by Strive

  1. Strive

    Wapi nitapata mashine ya kufyatulia matofali ya kuchoma?

    Salama wakuu...? Nauliza wapi nitapata mashine ya kufyatulia matofali ya kuchoma, je tuna aina hizi za mashine? Natanguliza shukrani.
  2. Strive

    Bata wangu anaumwa ugonjwa gani?

    Hata ka picha hujatuwekea? Anyway, huo ni ugonjwa wa upungufu wa vitamin A. Wanunulie vitamins za madukani uwape. (Vitamins ni supplement wanayotakiwa kupata mara kwa mara ili kuzuia wasipate tena tatizo)
  3. Strive

    Msaada kwa anayefahamu mahali wanapokodisha Screenhouse

    Swali uulize hapa majibu PM, huu ni ubinafsi kiwango cha juu sana. Hutaki na wengine wafaham?
  4. Strive

    Wewe ni mfugaji, Mdadisi na mbunifu?

    I like your way of thinking...!
  5. Strive

    Kiwanda cha sabuni

    Kwa ushauri ni bora ukaweka hapa gharama zako then wadau wachangie kuona wapi pakoje na wapi pakoje utapata comparison nzuri yenye afya zaidi.
  6. Strive

    Kiwanda cha sabuni

    Mh! Mkuu mbona km sijakuelewa hv, umewezaje kujua faida ya mche (1500 - 2000) Pasipo kujua gharama ya uzalishaj kwa mche? Huyo lab specialist uliyoongea nae ndo mzr kumtumia ili akusaidie details za gharama wa mradi!.
  7. Strive

    Napenda kufahamu jinsi ya kufuga bata

    Km uko serious tafuta jirani mwnyw eneo. Mweleze wazo lako muone namna gan mnaweza shirikiana, yeye atoe eneo wewe utoe bata, malisho na huduma.
  8. Strive

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Infinix zna hii feature ya kupiga had cm!.
  9. Strive

    Niulize chochote kuhusu biashara ya duka la rejareja

    Kufungua duka na kumuajiri mtu auze, hapa hua mnapigiana vp hesabu? I mean kujua faida, vitu vilivyoisha na vinavyohitajika kuongezwa dukani. .. Unaepuka vp huyu uliyemwajiri asikupige?
  10. Strive

    Niulize chochote kuhusu biashara ya duka la rejareja

    Shukrani kwa angalizo, umakini kama upi mkuu, unaohitajika??
  11. Strive

    INAUZWA Pump ya umwagiliaji inauzwa, Iringa

    Hii inatumia umeme au nini?
  12. Strive

    Mungu anaweza kutenda dhambi?

    Kwa uelewa (Mpana na mdogo) na kwa kutumia mfano uliouleta, unafkr kwa nn Mungu alifanya alichofanya kwa watu wa Sodoma na Gomora?
  13. Strive

    Mungu anaweza kutenda dhambi?

    Kwa uelewa wako DHAMBI ni nini, tuanzie hapo kwanza...?
  14. Strive

    Kufanya biashara na Watanzania mtandaoni ni taabu sana

    Wateja sio "wasumbufu" hauna customer care nzuri!
Back
Top Bottom