Habari wakuu,
Leo saa 17:36 nimepokea ujumbe wa utapeli unaolichafua jeshi letu.
Naomba jeshi limtafute huyu mtu anayetunia namba +255 692 415 547 aliyenitumia sms ya utapeli ili aeleze vizuri.
Nimeambatanisha ujumbe wake sms aliyotuma kwenye namba yangu nikiamini amewatumia watu wengine...
Habari wadau,
Leo nimekuja kwenu nikiwa na shida moja mhimu sana. Namtafuta Mama Tecla Thrombo kama sijakosea jina lake. Huyu mama alikuwa wizara ya elimu ofisi ya katibu mkuu wizara ya elimu kama PS na badae ofisi ya waziri kama PS.
Huyu mama alinitendea wema mkubwa sana sana. Aliniokoa sana...
Mkuu stroke, kitu gani ambacho unaamini ni kizuri kutoka kwa wapinzani wa nchi hii hasa CHADEMA? Hata kitu kimoja, au hoja moja waliyowahi kuileta au kuianzisha au kuiongelea katika nchi hii.
Si unamuona kwa umri alionao, anachowaza Paschal ni kupata ulaji maana anaona umri unaenda na alishasemaga deals zake zimekufa hana kitu wala kazi yoyote. Amefulia. Anataka uteuzi kwa namna yoyote ile hata iwe kwa ubaya gani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.