Swali langu ni kuwa UKAWA ni matapeli! Mmeshindwa kumpa Ubunge wa Viti Maalum mke wa mwenyekiti mwenza wa Ukawa, badala yake mnampa EL viti 5 ambavyo amevigawa kwa wanaCCM!
Mbatia naye ana taa ngapi kule NCCR? UKAWA ni watu wa hatari sana! Mmeshindwa kumpatia Ubunge wa Viti Maalum mke wa marehemu, Mwenyekiti Mwenza UKAWA mzee Makaidi badala yake mnampa EL nafasi5 za viti maalum!
Mlijifanya kutoka Bungeni eti mpaka sharti la kuonyeshwa live Bunge litekelezwe! Kulikoni sasa mpo Bungeni au sharti lenu la kuonyeswa live limetekelezwa? Msikilize Zitto na nondo zake Bungeni amewazidi hao ndugu zako!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.