Sanduku la agano liko hapa
Ufunuo wa Yohana 11:19
[19]Kisha Hekalu la Mungu lililoko mbinguni likafunguliwa, na sanduku la agano lake likaonekana ndani ya hekalu lake. Kukawa na umeme, na sauti, na radi, na tetemeko la nchi, na mvua ya mawe nyingi sana.
Mbona kwa waitaliano ni mambo ya kawaida. Ushoga kwao ulianza zamani. Msimlaumu papa. Waroma wametaka wenyewe. Pia mara zote rc ina tabia ya kukumbatia matajiri alimradi wanatoa fedha. Waniliki wakubwa wa mabaa,madanguro nk ni warumi. Ndio kisa cha utajiri wa Rumi ya kidini, kuzini na matajiri...
Kutolewa kwenye mashindano ya kimataifa kimewawehusha makolo. Sasa njooni mgombee kombe la Azam. Wekeni huko nguvu kubwa kwani ubingwa wa tz pia mmeukosa mfululizo.
Kwa hali ya kiimani mtoa mada ukobsahihi. Ila kwa sheria za duniani huko sahihi. Kumkashifu mtu ni kosa kubwa na nizaidi ya hiyo b9. Biblia 1 Wakorintho 13:4
Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni;
1 Wakorintho 13:5
haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo...
Mhubiri 9:5
kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa; lakini wafu hawajui neno lo lote, wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa.
Mhubiri 9:6
Mapenzi yao na machukio yao, na husuda yao, imepotea yote pamoja; wala hawana sehemu tena katika jambo lo lote lililofanyika...
Mnajisumbua bure. Mhubiri 9:5
kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa; lakini wafu hawajui neno lo lote, wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa.
Mhubiri 9:6
Mapenzi yao na machukio yao, na husuda yao, imepotea yote pamoja; wala hawana sehemu tena katika jambo lo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.