Na wao walitoa mapendekezo yao, lakini yamepuuzwa na Nhif na serikali, unategemea wafanye nini!!? Wakikaa kimya muda si mrefu watafunga vituo kwa kushindwa kuendesha, ndio maana wameona ni afadhali kuacha kutoa huduma ili iwafanye Nhif na wizara wakubali kukaa chini kuweka sawa
Nilikuwa nimewasiliana na Ben siku moja kabla ya kutoweka kwake, nalazimika kusamehe wahusika kwa sababu tu, nisiposamehe sitasamehewa,but niliumia sanaa kutoweka kwa Ben
Hata hilo unalosema ni hekalu lililojengwa na Sulemani ambalo lilivunjwa na Warumi, halikujengwa na Sulemani,bali lilijengwa na Wayahudi baada ya kurudi kutoka uhamishoni Babeli, hekalu la Sulemani lilivunjwa na mfalme Nebukadreza mwaka 586 BC
Biblia huwezi kuilinganisha na vitabu vingine kwa sababu
Biblia ni "Neno la MUNGU lililovuviwa" siyo hadithi
Ukiiumia maandiko ya Biblia vitu vinatokea
Tafakari kwanza,.... hivi tukio kubwa kama hilo lililochafua picha ya nchi kimataifa eti unamkamata mtuhumiwa na kumkabidhi kwa vyombo vya habari ajieleze!!shame on you!! Kwa nini asingetumika kama chanzo cha habari kuwafuatilia hao watu!! Kama mmeambiwa alikowaacha na siku kuna ugumu gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.