Recent content by PureView zeiss

  1. PureView zeiss

    Kauli hizi za bodi ya nyama ni viashiria vya kutaka kuua biashara ya Mr. Manguruwe

    Biashara za mitandaoni Kwa Tanzania ni kujitangazia vita na serikali..
  2. PureView zeiss

    USHAURI KWA SERIKALI YA MKOA WA DAR ES SALAAM KUHUSU KUBADILISHA MATUMIZI KWA STAND YA MABUS MAGUFULI MBEZI.

    Cha ajabu mada kama hizi zinaachwa Tu bila kufutwa.. Moderator tafadhali futa huu UJINGA hapa
  3. PureView zeiss

    Marekani yapiga marufuku bidhaa za nguo za viwanda 26 vya China.

    China wameshatoboa kimaisha marekani anajichosha tu
  4. PureView zeiss

    Alphard for sale ml 25.8

    Mkuu wabongo Sisi tunaharibu Sana biashara na wateja wengi ambao hawajui magari wanafikiri milage ndogo ndiyo gari imara. Ukiona gari ina milage ndogo alafu inauzwa bei rahisi kimbia kabisaa!!!
  5. PureView zeiss

    Maria Tsehai acha upotoshaji kusema Lissu hajalipwa stahiki zake ili achangiwe kununua V8, VXR nyingine

    Mtoa mada una roho ya kimasikini kwelikweli....unazuia Hadi sadaka?
  6. PureView zeiss

    Handeni: Dereva wa Bodaboda agonga bundi na kufariki

    Afisa mifugo wilayani Handeni mkoani Tanga (Jina lake bado halijafahamika) amefariki dunia baada ya kumgonga ndege aina ya Bundi na pikipiki aliyokuwa akiendesha yenye namba za usajili STM 0232 . Ajali hiyo imetokea asubuhi ya leo Ijumaa, Mei 17 2024 eneo la Sindeni, Handeni jirani na kona ya...
  7. PureView zeiss

    Dodoma: Hatimaye Polisi wamkabidhi Tundu Lissu gari lake alilomiminiwa nalo risasi

    Na MUNGU alivyo fundi akaona Bora amtangulize shetani jehanam 17/3/2021
  8. PureView zeiss

    Dodoma: Hatimaye Polisi wamkabidhi Tundu Lissu gari lake alilomiminiwa nalo risasi

    Na MUNGU alivyo fundi akaona Bora amtangulize shetani jehanam 17/3/2021
  9. PureView zeiss

    Don Carlo Ancelotti, Kocha pekee mwenye record zake UEFA

    Toka mwaka Jana nimehamia kwenye ligi ya Spain huku kuna utofauti mkubwa na premier league
  10. PureView zeiss

    Mbagala: RC Chalamila apokelewa kwa Wimbo "Bao 1 milioni 10 lakini barabara mbovu"

    Hii serikali bila kufanya hivi hawasikii kabisaa
  11. PureView zeiss

    Ninawapongeza wananchi wa mzinga kwa kufunga barabara, serikali hii isiyosikia ichukue hatua

    Aliyekuloga amekufa? Nchi hii Toka lini watu wanachagua MTU wanayemtaka? Nani mwenye uwezo wa kwaondoa CCM Kwa njia ya Kura? Kwa katiba gani unaweza kumchagua MTU unayemtaka? Tanzania tunawekewa viongozi wanaochaguliwa na system na sio wananchi
  12. PureView zeiss

    Ninawapongeza wananchi wa mzinga kwa kufunga barabara, serikali hii isiyosikia ichukue hatua

    feyzal hii barabara ingekuwa IPO wilaya kinondoni ingekuwa imejengwa miaka 10 uliyopita,UJINGA kama huu unasababisha tuone ndani ya nchi hii kuna ubaguzi wa maeneo na kikanda. Eneo lote la mzinga ni hatarishi Sana na barabara ni nyembamba kama ya mtaani, viongozi wa nchi hii ni vipofu wote
Back
Top Bottom