Recent content by Papaeliopaulos

  1. Papaeliopaulos

    Jogoo Aliyesema... Mnamkumbuka?!

    Tuanzie hapa kukumbushana. Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali Kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili Watoto wake wakaja, ili kumtaka hali Wakataka na kauli, iwafae maishani Akatamka mgonjwa, ninaumwa kwelikweli Hata kama nikichanjwa, haitoki homa kali Roho naona yachinjwa, kifo...
  2. Papaeliopaulos

    Ukishangaa ya Uamsho, haya utasemaje?

    Hahahahaaaaa!!!!!!!!!!!!! Kwa hiyo elimu ni madrassat pekee? hata waislamu walioenda kwenye elimu za sekondari na vyuo vikuu wamejazwa ujinga nao? Muislamu aliyesoma Madrassat tu bila kwenda hata chekechea yeye ndo hajajazwa ujinga?
  3. Papaeliopaulos

    Waheshimiwa Wabunge Wetu na Ndugu RAIS, ILI KUFUTA FOLENI ZA MAGARI DAR ES SALAAM

    Tuombe Eee Bwana ninakuomba uwarehemu watu waliokengeuka kimtazamo, kufilisika kifikra na kupotoka kiakili kama huyu ndugu. Uwarejeshee akili mpya yenye kufikiri vyema. Najuwa hakufanya hivi kwa kosa lake, bali ni matatizo yanayomkabili ikiwemo hofu ya kupoteza kazi kwa kuchelewa kila siku...
  4. Papaeliopaulos

    Mhe. Wassira azungumzia Mauaji yanayotokana na jeshi la polisi live on TBC

    Anasema Registraa wa vyama vya siasa ni wa serikali sio wa CCM na maamuzi yake ya kufuta chama hawawezi kuhijiwa mahakamani. Swali: serikali inatokana na chama gani? Raisi = Mwenyekiti wa Chanma Makamu/ Mwawaziri ndio wajumbe wa kamati/halmashauri za chama Hapo utatenganishaje chama na serikali?
  5. Papaeliopaulos

    Mhe. Wassira azungumzia Mauaji yanayotokana na jeshi la polisi live on TBC

    Wadau mlio karibu na TV zenu Naona Waziri ma mahusiano na uratibu ofisi ya Raisi Mheshimiwa Steven Wasira yuko TBC anazungumzia vifo vya mara kwa mara vinavyotokana na jeshi la polisi kuzuia maandamano na mikutano ya Chadema. Naomba tuangalie tuone mitizamo na misimamo yake.
  6. Papaeliopaulos

    Karibuni JF tuchangie hoja!

    Karibuni JF tuchangie hoja!
  7. Papaeliopaulos

    What is your settings?

    Are you equiped with WIFI antenna or USB port?
  8. Papaeliopaulos

    Baba na Mama

    Anamkomaza ili asijekuwa mtoto wa mama (yaani kudekadeka)
  9. Papaeliopaulos

    Dume linanyonyesha

    KJ Hili linamlisha tu mtoto majasho yake bure. shame on him.
  10. Papaeliopaulos

    Red card mchangani

    Ha Ha ha haaaaaaa!!!!!!! Ila No 4 na NO 10 hawawezi tena kuchezea timu moja, labda kama ni zamani.
  11. Papaeliopaulos

    Hii ni Style au Jamaa Alikosea

    Sijui kama huyo dada alipona kwa stail hiyo!
  12. Papaeliopaulos

    What is your setting

    WIFI Antenna or USB port???
  13. Papaeliopaulos

    Warning Alarm: Hili ni Onyo kwa CCM Msiposikia msiseme hatukuwashauri!!

    Tupingane lakini tusipigane. Tunataka CCM iwe chama cha upinzani kwa angalau miaka kumi ili wajirudi. Wana CCM ni Watanzania wenzetu, ni ndugu zetu. Hatutaki wafe, tunataka wasing'anganie madaraka mno. Uchu wao wa madaraka unatuchosha, lakini akifa mmoja wao bado ni amekufa Mtanzania mwezetu...
  14. Papaeliopaulos

    The 10 most beautiful East Coast female radio presenters

    Here are the ten most beautiful East Coast female radio presenters.
Back
Top Bottom