Recent content by Othman Qadir

  1. Othman Qadir

    Natafuta mwanamke wa kuoa

    Waooo thank you so much. Ubarikiwe sana na KARIBU SANA
  2. Othman Qadir

    Natafuta mwanamke wa kuoa

    So unakuwa mshenga ama middle man
  3. Othman Qadir

    Natafuta mwanamke wa kuoa

    We ukuje bana acha maneno mambo mengine ni ya kuongea wahusika wawili kwa inbox ! So ukuje haraka nakusubiria
  4. Othman Qadir

    Natafuta mwanamke wa kuoa

    Ok sawa karibu mke wangu mpenzi. Njoo tujenge familia. Maisha ndio haya haya hakuna maisha mengine. Ukifika mwanjelwa au kabwe nistue nije chap kukufuata
  5. Othman Qadir

    Natafuta mwanamke wa kuoa

    Upewe maua yako. Na ndio maana upo so proud with your dady kwa jinsi alivyokulea wewe na ndugu zako. I wish ungekuwa mke wangu wa maisha SEMA tayari yule jamaa Alisha uteka moyo wako ndio maana umekuwa na msimamo kama Israel against Hamas , and Iran But you're amongst few super woman on this earth
  6. Othman Qadir

    Natafuta mwanamke wa kuoa

    Huyo ni Manzi wa Dar! Tayari anaona yupo nje ya ulingo. Anapatikana mitaa karibu na wewe hivyo changamkia hiyo fursa ndugu yangu
  7. Othman Qadir

    Natafuta mwanamke wa kuoa

    Stendi ya wapi ? Ukija ukuje na begi lako kabisa Mimi mambo ya distance relationship sitoweza. Nataka full mkumbatio kila siku.
  8. Othman Qadir

    CCM Hata wakitoa Fomu 1000 hakuna wa kumshinda Rais Samia 2025

    Mkuu usijaribu kuwapotosha CCM halafu wakaingia mkenge ki boya boya. Katika watu wanao kitaka KITI cha Urais Mimi ni mmoja wapo. Na nakuhakikishia Mimi nitakuwa among top 3 watakao chukua hiyo form ikitokea Samia amesema acha watu wapambane nae. Kwa kuwa Mimi ni underdog watani DHARAU kiasi...
  9. Othman Qadir

    Natafuta mwanamke wa kuoa

    Mkuu Mimi ni mtumishi wa umma halafu nimeridhika na kiwango Cha umaskini wangu alichonjalia Allah. Yaani Wala Sina tamaaa na wala sitamani kazi nyingine tofauti na hii ninayoifanya sasa. Mshahara wa kibaruani kwangu Mkuu wa wilaya asubirie hadi Samia amfurahishe achilia mbali DED...
  10. Othman Qadir

    Kwanini Mkuu wa Majeshi(JWTZ)anatokea Kamandi Moja tu, wakati tuna Kamandi Sita?

    Mwamunyange CDF mstaafu alikuwa Mkuu wa JKT by then and later he was appointed by Jakaya Kikwete kuwa Mkuu wa majeshi . I remember Mwamunyange ali-replace nafasi ya Mej jenerali Makame Rashid aliyestaafu ukuu wa JKT kabla hajateuliwa kuwa Balozi. I remember Mwamunyange akiwa Mkuu wa JKT...
  11. Othman Qadir

    Natafuta mwanamke wa kuoa

    Vipimo ninavyo box zima na vinapima HIV na syphilis! Complete! Hilo ondoa shaka Ndugu yangu. Nipo serious na kutafuta pesa lakini pia nipo serious na suala la afya yangu na nitahakikisha namlinda afya mke wangu nitakayempata. AFYA YANGU NDIO MTAJI
  12. Othman Qadir

    Natafuta mwanamke wa kuoa

    Sio kuwa Sio kuwa niikipata kazi ya kueleweka , nina kazi ya kueleweka and by your information nimejenga Dar na wapangaji wapo ndani maisha yanaendelea. What I spoke is the reality, watu wa Dar shobo nyingi as if mikoani huku hakuna maisha. Halafu mwisho wa siku maisha Yao bado ni ya kuunga...
  13. Othman Qadir

    Natafuta mwanamke wa kuoa

    Sija mu-attack mtu but I spoke the reality. We kama una shobo na watu wa Dar endelea but always I am black and white.
  14. Othman Qadir

    Natafuta mwanamke wa kuoa

    Karibu , endelea kupiga chabo . Mmoja wapo huyo hapo juu amejitokeza we mlie mingo anayesema wa Dar ndio maboss zake
  15. Othman Qadir

    Natafuta mwanamke wa kuoa

    Wewe ni mwanamke kama unaishi kwa support ya hao wanaume wa Dar basi hao ni maboss wako wewe Mimi hawanihusu. Kila mmoja apambanie kombe lake
Back
Top Bottom