Recent content by Orlando_

  1. Orlando_

    KERO Bayport na Banc ABC wanapata wapi namba zetu za simu na kutumbua na meseji zao?

    Ni kweli kabisa jamaa sijui wanajuaje wale,ipo sehemu wanapata taarifa wakikutumia sms potezea tu na wanajua kushawishi vibaya mno.
  2. Orlando_

    Baba yangu hakuniachia urithi lakini ndugu zangu wengine wamepewa wote, je nikijitenga na ile familia nakosea?

    Mkuu kwa majibu kama haya acha unyimwe urithi,umeshaambiwa huko juu na wadau inawezekana wewe siyo mtoto wa huyo mzee ongea vizuri na Mama anajua ukweli..
  3. Orlando_

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Mbona toka saa nane usiku mkuu!
  4. Orlando_

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Mama kacheka tayari kazi kwenu..
  5. Orlando_

    Chama, Kibu na Mickson kama wako vizuri wacheze vs KMC, gemu ni ngumu sana hiyo viongozi wa Simba

    Mkuu hiyo mechi ni ngumu kweli siyo utani kulingana na Simba ya sasa..
  6. Orlando_

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Wataweka tu ni suala la muda,kama una kabiashara kanaingiza vi miambili tumieni hizo Mama atacheka siyo muda mrefu. Wale wa maandishi manne CRDB tembo atageuka bila shaka..
  7. Orlando_

    Kumbe kombe lao

    🚮
  8. Orlando_

    KERO Jeshi la Polisi liongeze muda wa kuomba ajira kutokana na changamoto ya mtandao

    Acheni uraia kwanini usimjibu vizuri ungepungukiwa nini,mkijaa kwenye 18 mnatia huruma sana..
  9. Orlando_

    Msaada wenyeji wa Ruhuwiko namtafuta ndugu yangu

    Kwa maelezo haya sijui kama utampata nikutakie kila la kheri!
  10. Orlando_

    Shocking: Video inayomuonesha P Diddy akimpiga vibaya mpenzi wake Cassie yawekwa hadharani

    Huyu alizungua sana unampigaje mwanamke hivyo hata kama mna ugomvi,haijakaa sawa...
  11. Orlando_

    Familia mbili za anunaki ndio zinasumbua dunia hii hadi leo

    Huu uzi nimecheka sana dah!
  12. Orlando_

    Haya maisha haya

    Kama kuna mtu ana kazi amsaidie dogo huo msoto usiombe ukukute usikie tu. Hakuna haja ya kumcheka na kumdhihaki!
Back
Top Bottom