Recent content by Odegard

  1. Odegard

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    🅱️USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY Bayern M vs Arsenal (pre game Analysis) ✍🏾 Ni Match nyingine ambayo inahitaji Umakini, Utulivu, Na Ambition ya Ushindi. ✍🏾 Hatua Mtoano uwa ni matukio tu yanaamua nani mshindi, sio umecheza vizuri vipi kama huwezi kufunga zaidi mpinzani,unatolewa. ✍🏾 Bayern...
  2. Odegard

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    🅱️USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY ✍🏾 Jana Tumepoteza Mchezo, Inauma ila hamna namna zaidi kuangalia kilicho mbele yetu. ✍🏾 Jumatano Tuna Mchezo mwingine Utakao hamua hatima yetu UCL, Pale Allanz arena. ✍🏾 Ni UCL kombe pekee Bayern analitegemea Kwa sasa hivyo atakuja full Starategic plan. ✍🏾...
  3. Odegard

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hao jamaa watafufukia kwetu ilimradi kutukwamisha kuchukua ubingwa
  4. Odegard

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    🅱️USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY ✍🏾 Mikel Arteta ni Kocha ambae mpaka sasa kaonesha Potential kubwa, pengine kupambana kimbinu na Makocha ambao ni elite. ✍🏾 Lakini Arteta bado anajifunza, Arteta anaweza kukosea vile vile kukosea ndio kunamfanya awe bora zaidi kujirekebisha ambapo ana kasoro...
  5. Odegard

    KERO Taarifa Binafsi: Kampuni ya mkopo mtandaoni (online loan app) imenidhalilisha sana

    Habari za Leo wakuu. Unasema siafu ni wasumbufu, wanang'ata, je umewahi kuvumilia usumbufu wa hao wakopeshaji wa mtandaoni?
  6. Odegard

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    🅱️USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY ARSENAL VS ASTON VILLA ( Pre game Analysis) ✍🏾 Ni match Nyingine mbayo sio rahisi inahitaji utimamu mkubwa kwenye kuset Mbinu kiuchezaji. ✍🏾 Aston Villa Ya uni, ni moja kati team ambazo zipo vizuri kwenye build attacking ya kasi, wanafanya transtions ya mifumo...
Back
Top Bottom