N
ionavyo mimi kitendo alichokifanya Katibu Mkuu Kiongozi Bwana Philemon Luhanjo ni dharau. Ni dharau kwa Waziri Mkuu; Kiongozi wa shughuli za Serikali Bungeni; ambaye kwa uchungu mkubwa, akiwa na dhamira safi uamuzi wake ulikuwa kumtimua kazi Bw. Jairo hata kama alikuwa na nia...
Kama kwa mwaka mzima wa maandalizi ya bajeti alishindwa kufikia kiwango ndo wiki tatu? nadhani wizara iwekwe chini ya uangalizi maalum na serikali ijipange upya...
But Wizara kutoa pesa za Kulobby haianzi na jairo peke yake. huo ni mchezo wa wizara lukuki. kila taasisi chini ya wizara lazima ichangie hako kabajeti... let alone kumchangia waziri mafuta akienda jimboni, utadhani anakwenda na treni akiendesha mwenyewe......
na katibu mkuu hafanyi peke yake...
Wabunge wa CHADEMa kwa umoja wao wametoka nje ya bunge mara Rais alipoanza
kulihutubia bunge. Walikuwa watulivu toka mwanzo, kuingia kwa Speaker na
Rais, Sala ya kulifungua bunge na hata kumsikiliza Spika akisemea umuhimu
wa Rais kama sehemu ya bunge, lakini Rais alipokaribishwa, within the very...
Hivi yule mwingine yuleeeeeeee wa uchaguzi wa 2005 ambaye sasa ni mdomo wa jengo jeupe alitokea hapo hapo habari corporation au alitokea wapi? nadhani dogo naye pengine ndo strategy ya kutoka....
Swaumu hapana. kwa kuwa naamini Daku analopata Rais si la mchezo. anaweza kukaa na njaa wiki moja. Sukari nayo ni out. Wataalamu wanasema hadi ifikie kukolapse ni muda mrefu sana na pia si rahisi kwa well taken care kama Rais. Wengine wanadhani ni Skadi la yahya alisahau sehemu kumbe kaweka...
Mimi kila nikiangalia hii thread machozi yananitoka. Kwa kweli inatia huruma sana. Rais ana huruma au nini? Mimi nadhani kwa sasa lazima Waziri wa Afya aingilie kati _ Dr Mfisi should be out kwa kuwa kiungwana aliwaahidi watz kuwa watakuwa makini na afya ya Rais baada ya tukio la Mwanza na kwa...
Makala ya Bw Deodatus Balile katika gazeti la Mtanzania toleo no 0856-5678 lenye kichwa cha habari "Dk Slaa avunja ndoa" imenishangaza sana. Imenishangaza kwa sababu kadhaa, kwanza, mtu kama Balile, ambaye ana kadigrii ka uzamili bado hana upeo wa kujua kuna maisha binafsi ya mtu, ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.