Zipo Mazda CX9 za CC 2500. Labda hiyo point ya kutokuwa Compact kama CX5. Model ya kuanzia 2017 muonekano wa CX5 na CX8 na CX9 unafanana kasoro tu urefu ndo unazidiana
Imeelezwa kwenye nyuzi kadhaa ila kwa vipande vipande
Faida/Pros
Zina tech ya kisasa ukilinganisha na bei yake na bei ya gari nyingine za class yake.
Zina chasis na body zenye weight ndogo hivyo inasaidia pia hata fuel economy na handling (zinasifiwa kwa handling na uendeshaji)
Zina engine...
Baadhi ya sifa zake (V8 Model)
Ina nzuri na ina nguvu
Comfortable
Ni nzuri kuendesha
Ikizingua ni gharama kuitengeneza (sijui gen ya sasa ila za mwanzo zilikuwa overengineered kidogo)
Fuel consumption si nzuri
It appears that #LFC will announce Rodgers will be sacked tomorrow at their press conference at 9:15am BST. Carlo Ancelloti will replace him.
Kama ni kweli safi sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.