Katika maisha ni vema kumsikiliza 'aliyeshindwa' ili kujua alivyo na kuepuka alivyo. Ameshakuwa usivyotaka kuwa na anajua usilolijua japo wajaribu kuliepuka ndio maana "mtakatifu' asiyezungumza na wenye dhambi 'huangukia dhambini' kwa mambo ya 'kijinga na rahisi'.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.