Serikali ina hisa ktk taasisi na makampuni mbalimbali na imekuwa ikipata gawio..mfano toka CRDB,NMB..
Kwa miaka 20 iliopita ni kiasi gani Serikali imepokea gawio toka SONGAS?
Kwa umiriki wa 75% au hizo 40% zilizobaki baada ya watuhumiwa wa majambazi kujimegea zingine Msajiri wa hazina ana...
Serikali ina hisa ktk taasisi na makampuni mbalimbali na imekuwa ikipata gawio..mfano toka CRDB,NMB..
Kwa miaka 20 iliopita ni kiasi gani Serikali imepokea gawio toka SONGAS?
Kwa umiriki wa 75% au hizo 40% zilizobaki baada ya watuhumiwa wa majambazi kujimegea zingine Msajiri wa hazina ana...
Tanzania sio maskini,Watanzania wachache kwa uroho wa fedha na ufisadi wametufanya maskini..Wanaelea kwenye lindi la ukwasi huku maiti zikizuiwa kwa ndugu kukosa fedha za kulipa gharama za matibabu..
Kuna watanzania wachache wanamiriki matirioni ya fedha ndani na nje ya nchi..
Watumishi kwenye...
Tutafute ufumbuzi wa kudumu wa hili tatizo ..Kukoseakana amani kwa mmoja wa mwanachama wa Jumuiya zetu ikiwamo SADC,EAC ni kukosekana amani kwetu..
Duniani tunapita..Tutende wema kwa wasio na hatia..Tutende wema kwa wanaoteseka
Tuna wageni wa nchi jirani wapo kwenye nyadhifa zenye mamlaka ya kufanya maamuzi kwa faida ya nchi zao za asili..Watu wa mataifa ya jirani wamekuwa madalali wa mali zilizoko Tanzania..Inasikitisha sana..
Kiu ya wageni ni kushika hatamu ya nchi kwa faida yao binafsi na mataifa yao ya asili..yapo...
Mungu ibariki Afrika na watu wake..Mungu wabariki Viongozi wetu
Vita na mauaji vinaendelea Kivu ya Kaskazini,Maelfu ya raia wanauwa kila leo. Biashara na shughuli kuu zote zimedorora. Janga la kibinadamu siku si nyingi yamkini kukawa na mauaji ya haraiki. Waasi wenye nguvu wanapambana kuteka...
✅NANI ANAFAIDIKA NA MUUNGANO?
✅NINI FAIDA ZA MUUNGANO?
✅KWA NINI TUWE NA MUUNGANO TULIONAO?
✅NINI KIFANYIKE KUUFANYA MUUNGANO KUWA BORA ZAIDI?
✅MAPUNGUFU YA MUUNGANO TUNAYATATUAJE?
Wananchi wanapaswa kuelimishwa zaidi kuhusu Muungano wetu kuliko kutishwa ama kufumbwa macho,midomo,masikio..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.