Si vibaya serikali ikaingilia kati kukataza uuzwaji wa haya mapombe makali ili kuepusha shida kwa vijana wetu
Matatizo ya figo kwa wananchi yanaongezeka.
Kulinda afya za wananchi ni jambo jema
Zibakie Serengeti tu na Kilimanjaro 😂😂🤣
Natamani Ukraine wapate mzalendo wa kweli mwenye kuijali nchi yake amalize hii vita
Chini ya zuzu anayeitwa Zelesky hakuna kusitisha mapigano
UN nao ni wale wale suruhisho analo lakini hawezi amua kama ufumbuzi ni kumwacha Russia atawale pale
Sasa wameendelea nini Sauth Africa mbona huwa mnawasifu sifu sana kwamba wameendelea
Unakosaje tax SAA 4 kwenye mji mkubwa kama huo
Basi hata Mafinga pako juu huwezi kosa daladala za Kinyanambo C saa 4
Hata kama mechi inachezwa Njombe ikiisha SAA 4 huwezi kosa coaster kibao za Iringa mjini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.