Recent content by Mtoto wa Shule

  1. M

    Tunapata fundisho gani Kwa Trump, Rais wa zamani wa America, kukutwa na hatia Kwa makosa ya jinai?

    Ahahahahaha! Sio hivyo. Ni jambo jema kama jambo hulielewi unauliza. Ni njia ya kuongeza ufahamu. Hata mimi niliiona mtandaoni!
  2. M

    Kuanzishwa kwa "Madarasa janja" kwa mujibu wa Waziri wa Elimu, Prof. Mkenda

    Smart phone kuiita simu tanashati hiyo ni tafsiri sisisi. Ni bora sana kuitwa simu janja.
  3. M

    Tunapata fundisho gani Kwa Trump, Rais wa zamani wa America, kukutwa na hatia Kwa makosa ya jinai?

    Wewe na wenzako wenye mawazo kama yako hamuwezi kuelewa. Trump kwa Kesi hii ni kwa kosa alilofanya kabla hajawa Rais. Na kwa maana hiyo hana kinga ya POTUS.
  4. M

    Mbunge Santiel Kirumba: Kila laini ikatwe Tsh. 50 tujenge barabara

    Wakituma tu sms zao, wanakatwa! Ahahahahaha!!!
  5. M

    Tunapata fundisho gani Kwa Trump, Rais wa zamani wa America, kukutwa na hatia Kwa makosa ya jinai?

    Nasisitiza Trump ana kinga ya kutoshtakiwa kama POTUS. Jinai inayomkabili HAIHUSIANI na kazi yake kama POTUS. Nipo tayari kwa mjadala.
  6. M

    Mbunge Santiel Kirumba: Kila laini ikatwe Tsh. 50 tujenge barabara

    Nashauri na wale wa "tuma kwenye namba hii" nao wakatwe kodi!
  7. M

    Kuelekea 2025 Walimu Dar kuanza kuvaa suti kwenye matukio

    Kwahiyo unamkejeli Mwalimu Mpwayungu Village sio?
  8. M

    Wananchi wa Chalinze wazuia msafara wa Tundu Lisu wakitaka aseme Neno roho zao zipone, awaahidi mkutano mkubwa 23 June anaporejea kutoka Singida!

    Si huwa nasikiaGA wale wa mitaa ya Kinondoni wakiwasema wenzako wa mitaa ya Lumumba kuwa wanaozuia misafara wanakuwa wameandaliwa?
  9. M

    Tetesi: 2025 wapiga kura ni milioni 33, hofu yatanda juu ya ujio wa wapiga kura chipukizi

    Kwani wapiga kura vijana ndio wanaanza mwaka 2025? Miaka mingine hawakuwepo?
  10. M

    Antony Mtaka: Hawa Ma DC Wanafanya Ziara za Kutatua Kero za Wananchi Kijiji Kwa Kijiji, Hawana TV tuu

    Huyu RC TV ya Leo kaitoa wapi? Au TV imemuona baada ya kumsema Makonda kimtindo?
  11. M

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika afunga ndoa

    Ila nasikia jamaa ni bahili sana! Ataweza kweli kuishi na mke? Anyways, hongera zao maharusi!!!
  12. M

    Video clip ya Lema anamaanisha nini?

    Pumbavu wewe!!
Back
Top Bottom