Recent content by Mtendaji wa kaya

  1. M

    Arusha Stadium kufurika 30/5/2015, Ni mkutano wa hadhara wa Lowassa

    Naombeni namba ya simu ya lowasa nina jambo la kumwambia au mtu wake wa karibu anipe mawasiliano yake hapa
  2. M

    Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Farmer82 nimekutumia mawasiliano yangu inbox,naomba tuwasiliane rafiki
  3. M

    Ushauri: Nataka Kusoma LLB

    Jamani mliopo Law school au mliopitia pale mtupe updates kuhusu shule ya pale ilivyo,idadi ya kozi,muda na mkopo kwa wanafunzi wa shule ya sheria
  4. M

    The Law School of Tanzania - Maswali na majibu

    Ndugu zangu mliopita au mliopo kwenye uwanja wa mapambano(Law school) tujuzeni hali halisi ya pale..naanza kwa kuuliza maswali yafuatayo; 1.Ni kozi ngapi zinafundishwa 2.Utaratibu wa malipo ya ada na fedha ya kujikimu ukoje 3.Mafunzo haya ni ya muda gani darasani na field ni muda gani...
  5. M

    Nahitaji gari

    Sasa mbona hata PM haujibu? Nijibu kwa kunirushia specification za hiyo starlet including pics
  6. M

    Toyota vitz in very good condition for only 4.7 m

    Hujajibu swali tafadhali...lita 1/km ngapi
  7. M

    Toyota vitz in very good condition for only 4.7 m

    Vipi ulaji wa mafuta,inahimili masafa marefu kama km 1000 kwenda na kurudi llikizo
  8. M

    Nimeanza Kunywa mkojo leo kujitibu madonda ya Tumbo

    Nimetumia dawa nyingi sasa naona sina jinsi! Mzizi mkavu aliwahi kusema humu kwamba ukinywa mkojo wako mwenyewe mara mbili kwa siku kwa siku7 madonda yanapona! Nimeanza kunywa mkojo wangu leo nitatoa mrejesho baada ya dozi kuisha! Kwakweli nasumbuka mno. =====
  9. M

    Nimeanza Kunywa mkojo leo kujitibu madonda ya Tumbo-

    Nimetumia dawa nyingi sasa naona sina jinsi! Mzizi mkavu aliwahi kusema humu kwamba ukinywa mkojo wako mwenyewe mara mbili kwa siku kwa siku7 madonda yanapona! Nimeanza kunywa mkojo wangu leo nitatoa mrejesho baada ya dozi kuisha! Kwakweli nasumbuka mno
  10. M

    Nauza laptop na simu

    Sawa utauza
  11. M

    Biashara ya vifaa vya simu kutoka Dubai/China

    Hebu ni pm namba yako kama uko mwanza basi hili dili linanihusu pia
Back
Top Bottom