Nashkuru sana Dada Faiza,, Binafsi nimebahatika kusali katika huo number 10 (Faisal Mosque) kwa hakika ni mzuri na ni mkubwa sana.
nashkuru kwa kunikumbusha mbali
Lazima mkubali Ustaarabu wa Kitanzania unaanzia ZANZIBAR,,
tokea zama zile hadi leo,, maendeleo na ustaarabu umeakua ukianzia Zanzibar na baadae bara wakafuatia,,,
nakupa mifano michache tu ifuatayo :
Televisheni ilianza Zanzibar,,, Miaka 20 baadae ndio ikaja Bara
Masuala ya Biashara huria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.