Recent content by monotheist

  1. monotheist

    App au website ya kudownload hd movies

    Onstream hapa hadi 1080p unapata
  2. monotheist

    Nilipoagiza mzigo AliExpress nikakumbana na rungu la kodi

    Wale wafanyakazi wa silent ocean pale godown kwao sokota wahuni sana wanatabia ya kutoboa box la mzigo wanaingiza mkono na kuiba baazi ya vitu mimi imenikuta wameniibia vichwa vya saa, earpods na mikanda ya saa baazi ya mabox
  3. monotheist

    Biashara ya bidhaa kutoka China

    Inawezekana mkuu alibaba kuna baadhi ya supplier wanauza hadi 2 pieces
  4. monotheist

    Biashara ya bidhaa kutoka China

    Soma vizuri nilichoandika boss nimesema nilianza kwa kiagiza 10 pieces alibaba kuna baadhi ya supplier wanauza kuanzia pieces 2 na kuendelea so kwa biashara kama ataagiza kuanzia pieces 10 atapata faida
  5. monotheist

    Biashara ya bidhaa kutoka China

    Mimi nilianza na mtaji wa 200k nilianza na 10 pieces za bidhaa fulani sasa hivi mtaji wangu umefika 2M Nenda alibaba angalia bidhaa ambayo kwa piece 1 thamani yake kuanzia elfu 4 hadi elfu 12 hakikisha bakiza pesa inayokatwa na alibaba na MasterCard bila kusahau shipping fee
  6. monotheist

    Perfume gani isiyo na harufu kali inafaa kwa mwanaume

    Nimesearch zimekuja chupa za aina nyingi zenye jina kama hilo sasa mkuu naenda kuuliza kitu dukan hata bei sijui nikiambiwa kinauzwa milioni 1 je
  7. monotheist

    Perfume gani isiyo na harufu kali inafaa kwa mwanaume

    Mimi ni mwanaume nina allergy na vitu vyenye harufu kali, mimoshi ya sigara na vumbi napenda sana kujipulizia perfume lakini zinanishinda naishia kupata mafua makali Je, perfume ipi ambayo imepoa itafaa kwa matumizi yangu bila kuniletea shida ya mafua makali bajeti yangu isizidi 30,000
Back
Top Bottom