Recent content by mlagha

  1. M

    Government summons Mawio publishers

    Jamani mimi ninachokifahamu ni kwamba serikali imelionya gazeti la Mawio kwa kuichonganisha serikali na Wakristo. Kazi ya makanisa sio kuwachagukia watanzania waipende Chadema ama CUF. Gazeti la Mawiolinaongelea habari za kuwataka Wakristo kurudisha Kadi za CCM. Hatuwezi kuwa na viongozi wa Dini...
  2. M

    Mhariri anayeichafua CHADEMA asimamishwa na Jukwaa la Wahariri

    Jamani naomba na mimi nivipongeze vyombo viwili Editors Forum pamoja na Idara ya Habari Maelezo kuhusu kanjanja huyu Charles Mlinda. idara ya Maelezo ilishaagiza kwamba CEO wa Gazeti la Mtanzania atafute mhariri Mwingine wa Gazeti kwa sababu huyo aliyewekwa bwana Mlinda hana qualification hata...
  3. M

    Siri nzito idara ya habari maelezo. Mh membe aanza kuhujumiwa rasmi

    Alafu huyu jamaa anajidai yuko Idara ya Maelezo hajui hata kama Idara ya Habari iko Wizara ya Habari na Membe yuko mambo ya Nje. We acha unafiki wako hapa. Ukitaka kuleta post ulete post zinazoeleweka. Nilidhani ungemsifia Mwambene kwa kuiwela sawa Idara ilikuwa imeoza na watu walikuwa...
  4. M

    Assah Mwambene ( Maelezo) vs Salva/Premi (Ikulu)

    Mimi ninachokijua ni kwamba Mwambene ndiye msemaji wa Serikali ya Tanzania na ndiye coordinator wa Vitengo vya Mawasiliano Serikalini pamoja na Wasemaji wa Wizara na Taasisi za Umma. Mhe. Rweyemamu anahusika na Taarifa za Rais kwa hiyo sioni confusion yoyote. Mala nyingi nimemskia Mwambene BBC...
  5. M

    Lowassa, Membe and Sitta: Unfit to Lead, Unprepared to Command

    Ndugu yangu Mwanakijiji nimesoma thread yako. Nimeshangazwa sana na msingi wako wa kujadili watu. Na pia sijaona msingi wa kuwajadili watu wenye misimamo tofauti kuhusu uhujumu uchumi wa nchi na madlahi ya taifa. Kinachonifanya nishangae pia ni kwa nini umefikia hatua hiyo??. Je ni wewe...
  6. M

    Membe kuwania urais 2015...

    Jamani kwa msiojua gazeti lililoandika taarifa hii ni la Hussein Bashe ambaye siku za hivi karibuni amekuwa kibaraka wa Rostam Aziz. Huyo Hussein Bashe anajua kilichomtokea kwenye uchaguzi wa umoja wa vijana na ndo maana akaona usomali wake aphauna dili. Sasa hivi gazeti la Mtanzania ambalo yeye...
  7. M

    Kauli ya Membe yaanza kumtesa

    Mi nadhani Hawa jamaa wa Mtanzania na mabosi wao wana haraka sana ya kuwafanya watu waamini kwamba na wao wamo kwenye kiwanda cha chuki dhidi ya wanasiasa kama Membe. Kwa maoni yangu wala hawana haja ya kujaribu kuwatumia Wanunge kama kinga. Membe ana historia ya kuwalipua watu hata...
  8. M

    Kauli ya Membe yaanza kumtesa

    Jamani mimi sijaelewa hapa mwandishi wa taarifa hii anaelewaje kauli ya Membe imeanza kumtesa. Acheni ushabiki wa. Kijinga nani ambaye hajui kwamba gazeti hili la Mtanzania ni la Rostam Aziz na nani hajui ukaribu wa Rostamu Aziz na EL. Ni vema tukajadili hoja kuliko opinion zingine zenye...
  9. M

    Mazishi ya mwandishi James Mwakisyala leo Pugu!

    Jamani mimi nilimfamu james kwa muda mrefu. mmoja wa watu ambao wanaweza kumsimulia vizuri Mwakisyala ni Seth Kamuhanda Katubu Mkuu Wizara ya Habari. kilichochangia msiba wake kuwa na low profile ni kwa sababu James aliondoka Daily News miaka ya 1993 kwenda kuwa afisa Habari wa Benki Kuu na...
  10. M

    Membe akanusha kuitabiria CHADEMA ushindi 2015!!

    Jamani mbona swala hili liko wazi
  11. M

    Wizi fedha za safari za JK kuchunguzwa

    Jamani Waziri Membe anasema kinachochunguzwa ni utaratibu uliotumika kuzitoa fedha zile Hazina kuzileta Kwenye account ya Foreign Affairs na baadaye kiasi cha fedha kikatolewa kwenye account na kuzileta fedha hizo Wizarani bila viongozi wa Wizara kujua. Kwa hiyo tume iliyoundwa ili inangalia...
  12. M

    Membe akanusha kuitabiria CHADEMA ushindi 2015!!

    Bahati nzuri mimi nimeshiriki press Conference hii. Mhe. Membe alitumia fursa hiyo kutoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali kuhusu Wizara ambayo yamekuwa yakiandikwa na kutangazwa na vyombo vya habari isivyo. Masuala hayo ni pamoja na taarifa kuhusu uwasilishwaji wa Ripoti ya Tanzania kuhusu...
  13. M

    Kimenuka mambo ya nje, vigogo wasimamishwa kwa ufisadi

    Jamani kama ni kweli kwamba maafisa wanne wamesimamishwa kazi Wizara ya Mambo ya Nje basi uungwana ni vizuri kuipongeza Wizara hii kwa kuwa proactive kila linapotokea tatizo kama hilo. Na hii inaonyesha kwa kiasi gani Wizara hii risk register zake zinafanya kazi. Hazina Waliposema Wizara ya...
  14. M

    Baada ya Serukamba kumkaba Mwakyembe, sasa ni Lowasa vs Membe.......

    Unajua sasa nimeona huyu Waziri Membe anawindwa kwa udi na Uvumba kwa sababu suala la vitabu kucheleweshwa limewekwa kama vile Wizara ndo ilichelewa kuwapelekea vitabu. Wakati watu wa Bunge wanasema vitabu vilifika Ijumaa ambayo ni three days before Monday. Siyo jukumu la Wizara kuwagawiya...
  15. M

    Membe amshukia KITINE, amfananisha na "Kingwendu"

    Nafikiri mimi nakubaliana kabisa na Waziri Membe kwamba watu wa aina ya Kitine nivema wakawajibishwa kwa kutoa kashfa zisizo na msingi.Suala la wizi wa Kitine na Mkewe halihitaji maelezo. Liko wazi kabisa. Membe alipoeleza wizi wa kitine na Mkewe hakuficha jina na ndio maana alijiuzulu. Kwa hiyo...
Back
Top Bottom