kwa mujibu wa maelezo ni kama dawa ilikuwa kwa matumizi mengine ambayo hayajatajwa,ila tatizo limekuja kwakuwa ndani yake kuna mchanganyo wa nguvu za kiume.Napongeza sana hatua hii wanaume legelege mlikwisha lemaa na hi cjuw mtaenda kwenye za kichina au kihindi?
safi ifike wakati hata mabasi ya wilaya kwa wilaya yawe na mahala rasmi kusimama kupata maji na chakula abiria.Na hawa wahubiri huanza hivyo then wanatangaza biashara.
unatumaje hela kibwege?Wengne hujifanya watu wa kazi fulan na kujifanya wanataka kukutumia zawad kama laptop,kamera nk na kutaka full your details na location il wakutumiye huo ndiyo mwanzo wa kukuingiza kingi.
mnisaidiye kuelewa ndg rangi zinamadhara gani?.Upind huo pia huonekana kwenye wingu ambao haujaweka na binadam nao unaashiria ushoga?Mana kec naona rangi.
kama kuna rushwa ktk kuwapitisha vijana ktk sekta nyeti kama hizo nashauri ikome mana tunaharibu.Mim ni mhanga ktk hilo ila nilipenda sana toka moyoni c kwa dhiki ya kazi lakini nikakosa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.