Recent content by Meneja Wa Makampuni

  1. Meneja Wa Makampuni

    Hospitali gani wanafanya root canal kwa ustadi wa juu

    Sasa si ueleze tiba inayo hitajika
  2. Meneja Wa Makampuni

    Hospitali gani wanafanya root canal kwa ustadi wa juu

    Mkuu unajuaje kwamba mimi ni mtoto au ndio dharau mkisha Shiba kande.
  3. Meneja Wa Makampuni

    Hospitali gani wanafanya root canal kwa ustadi wa juu

    Kumbe, sasa hapo tufanyeje tushauri.
  4. Meneja Wa Makampuni

    Hospitali gani wanafanya root canal kwa ustadi wa juu

    Kwakweli sina uzoefu na hii sekta ya afya mkubwa
  5. Meneja Wa Makampuni

    Hospitali gani wanafanya root canal kwa ustadi wa juu

    Habari wakubwa, Mdogo wangu meno yake mawili ya mbele ni marefu kuliko mengine. Anahitaji kufanya root canal ili yawe vizuri. Ni hospitali gani nzuri kwa hii huduma na gharama zina range kwenye ngapi?
  6. Meneja Wa Makampuni

    Ombi la kuteuliwa kuwa Kamishna wa Petroli na Gesi

    Vijana wa kitanzania wanao hitaji kwenda nje ya nchi kwa scholarships kuna kitabu kizuri nimekiandaa kwaajili yao. Ni kwa kozi zote iwe mafuta na gesi au kozi zingine.
  7. Meneja Wa Makampuni

    Ombi la kuteuliwa kuwa Kamishna wa Petroli na Gesi

    Kama huna D mbili ni kazi sana kuelewa code zangu.
  8. Meneja Wa Makampuni

    Ombi la kuteuliwa kuwa Kamishna wa Petroli na Gesi

    Uzi bado unahitaji michango
  9. Meneja Wa Makampuni

    LNG Project: Njooni tujadili unadhani kwanini mradi wa gesi ya LNG unachelewa na nini chakufanya ili utekelezwe kwa wakati

    Mkuu wetu Dr. Mwigulu Nchemba tulianzisha mada kubwa sana hapa jamii forum. Tunaomba sana mtuwekee huu mjadala huko bungeni.
Back
Top Bottom