Recent content by Mazingira

  1. Mazingira

    Bus zuri Dar to Arusha

    Asanteni sana wakuu kwa taarifa mbalimbali mlizonipatia. Nilisafiri na Bus la Kilimanjaro, ni semi-luxury halina hata AC kumbe ila mwendo wao ni mzuri na uendeshaji wao ni mzuri. Na hoteli nilipata inaitwa Briston iko karibu na mnara wa Azimio la Arusha ni mpya na bei ni 40,000. Pazuri sana.
  2. Mazingira

    Basi luxury Mwanza to Dar-es-Salaam

    Kwa Dar - Dodoma kuna Shabiby ni luxury kisawasawa. Nauli yao ni 40,000. Seat zake ni 1 by 2, lina choo na ni full AC. Pia lina Wifi na sehemu ya kuchajia simu na kila mtu ana TV yake kama kwenye ndege za masafa marefu.
  3. Mazingira

    Bus zuri Dar to Arusha

    Asante sana mkuu
  4. Mazingira

    Bus zuri Dar to Arusha

    Asante sana mkuu
  5. Mazingira

    Bus zuri Dar to Arusha

    Nataka Hotel mkuu
  6. Mazingira

    Bus zuri Dar to Arusha

    Nimeambiwa kuna Victoria, Miami, Briston, naweza kupata kwa bei hiyo hadi 45,000 tena double. Unaifahamu Briston Hotel?
  7. Mazingira

    Bus zuri Dar to Arusha

    Asante mkuu una namba zao za simu
  8. Mazingira

    Bus zuri Dar to Arusha

    Hapana silifahamu hili dadangu. Ni bei gani nauli yao?
  9. Mazingira

    Bus zuri Dar to Arusha

    Asante mkuu kumbe ni za KLM nilikuwa sijagundua. Nimeshawapigia
  10. Mazingira

    Bus zuri Dar to Arusha

    Namba ya Bus gani au Hotel gani mkuu.
  11. Mazingira

    Bus zuri Dar to Arusha

    Una namba zao za simu mkuu?
  12. Mazingira

    Bus zuri Dar to Arusha

    Asante sana mkuu. Kuna mtu kaniambia kuna Aspen Lodge unaifahamu? Usalama upo?
  13. Mazingira

    Bus zuri Dar - Dodoma

    Duh! Majanga
  14. Mazingira

    Bus zuri Dar - Dodoma

    Mkuu hawa ndo pia wana ma-Bus ya kwenda Arusha? Dar - Arusha ni bei gani?
  15. Mazingira

    Bus zuri Dar to Arusha

    Una namba zao za simu mkuu?
Back
Top Bottom